Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

MWANAUME HAJIUI KWA SABABU YA MBUNYE, BALI MWANAUME ANAJIUA SABABU YA PRIDE!

KITENDO CHA MWANAUME KUJUA KUWA NGOME YAKE IMEVAMIWA NI ANAKUWA ANAJIONA KUWA UANAUME WAKE UMETIKISWA PAKUBWA SANA.....HALI INAYOPELEKEA SONONEKO KUBWA SANA AMBALO MUDA HUPELEKEA KUJIDHURU MAANA NI DHARAU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA KUWA HAONI TENA THAMANI YA UANAUME WAKE!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mdogo wangu we hujawaona? Kutwa kututambia hapa kuwa hawababaishwi na mtu toa mbunye weka mbunye...mara ooh men are polygamous in nature, sasa hivi wanasema eti sisi mara zote huwa tunakuwa na plan B, mbona wao huwa wanasema siku zote wanakuwa na plan B, C, D mpaka H sijui huko...mtu akikuacha si unareplace tu cha kuuacha ugali mtamu hivi nini??
Hebu nyie wanaume mliotoka Mars mnakuja kutuletea mambo yenu huku tupisheni kidogo kwanza

Hata Mimi nimeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mdogo wangu we hujawaona? Kutwa kututambia hapa kuwa hawababaishwi na mtu toa mbunye weka mbunye...mara ooh men are polygamous in nature, sasa hivi wanasema eti sisi mara zote huwa tunakuwa na plan B, mbona wao huwa wanasema siku zote wanakuwa na plan B, C, D mpaka H sijui huko...mtu akikuacha si unareplace tu cha kuuacha ugali mtamu hivi nini??
Hebu nyie wanaume mliotoka Mars mnakuja kutuletea mambo yenu huku tupisheni kidogo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta anavimada 4 huku mke akipata kamoja tu anakunywa sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , akijiua wiki tu unaolewa maisha yanasonga hakuna namna, tatizo wao huwasumbua haswaa siku mwanamke akichoka nikuangusha Fukushima mwanaume naye ni kujiua tu hizo plan B C D sijui huwa wanaziacha wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine huyu anamlilia Rehema wake...

Tatizo lenu wanaume kujifanya wababe kumbe wadhaifu wakubwa ndani yenu, nje mnajifanya mabaunsa, sasa mkikutwa na mjanga na hivi hamjui kushare mnajiona matatizo ya dunia nzima yenu tu, wanawake wanalia hata hadharani hii inawaondolea msongo.

Ila kiukweli mapenzi acha tu, nawapongeza mabaharia wa kike na kiume wanaojuwa kupotezea hizi hisia japo nahisi kuna mahali nao hukamatika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana invest hisia kwa gharama kubwa sana, hakuna kitu kinachogharimu kama hicho, unajiposition to the extent hakuna ufanyacho bila kumhusisha mpenzi japo kihisia, later anakufanyia unyang'au dah!

Mapenzi matamu ukilipata boya lako moja mnaburuzana zenu tu bila stress.
Mkuu tembea uyaone.. watu wana invest time and resources balaa. Wakiachwa ni kujinyonga au uchizi chagua mojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta anavimada 4 huku mke akipata kamoja tu anakunywa sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , akijiua wiki tu unaolewa maisha yanasonga hakuna namna, tatizo wao huwasumbua haswaa siku mwanamke akichoka nikuangusha Fukushima mwanaume naye ni kujiua tu hizo plan B C D sijui huwa wanaziacha wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa watu wanaitwa wanaume ni viumbe wa ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom