Taasisi zao ziko huru, mfano FBI Rais hana mamlaka yoyote ya kuwaingilia utendaji waoHivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa za wa Marekani.
1. Katiba yao ni nzuri, Hakuna mtu hata mmoja ambaye yupo juu ya Sheria. Completely, no one is above the law.Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa za wa Marekani. Njoo Africa sasa, ni kama kunywa maji tu!
Marekani na nchi za Ulaya sio maumbwa kama maafrika na maccm! Majitu yanaiba halafu yanajisifu!Taasisi zao ziko huru, mfano FBI Rais hana mamlaka yoyote ya kuwaingilia utendaji wao
Kwa kifupi Marekani hakuna vimemo.