Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika.
Kwanini hivi? Tunashindana na nani huyo ambaye tunalazimika kumpiga mikwara na madongo kila wakati?
Kwanini hivi? Tunashindana na nani huyo ambaye tunalazimika kumpiga mikwara na madongo kila wakati?