ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri.
Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa wakiwa na Miaka 18, lakini pia wengine huanza kutafuta pesa katika umri wa Miaka 22 akiwa Amemaliza chuo.
Cha kushangaza ni vijana wachache mno wenye umri kati ya Miaka 20 na 29 utakuta anamiliki pesa au angalau amefikia kipato Cha kati, Nini hasa mbinu ya utajiri au kujikwamua kiuchumi.
Watu wengi wenye pesa umri wao Huwa unaanzia Miaka 30 na kuendelea, ambao Hawa wanaitwa wazee na watoto wa 2000, Sasa wataalamu tunaomba mtudadavulie sayansi hii, angalia hata kina GSM , Kusaga, Diamond, Laswai, Hawa wote Wana pesa na hawako age range hiyo.
Je, ndiyo Kusema ni vigumu kutoboauliwa 20s