GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ni ujinga tu wa viongozi wetu.Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.
Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:
Uganda (2005)
Kenya (2010)
Congo DRC (2011), na,
South Sudan (2011).
Unawazungumzia Wazanzibar?Tanzania 1964
Kuna watu Wana uraia wa Zanzibar na Tanzania.
Tuna wivu wa kijinga kwa diaspora!Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.
Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:
Uganda (2005)
Kenya (2010)
Congo DRC (2011), na,
South Sudan (2011).
Zanzibar mbona kuna uraia pacha, wana NIDA na kitambulisho cha mzanzibarNchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.
Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:
Uganda (2005)
Kenya (2010)
Congo DRC (2011), na,
South Sudan (2011).
Ni kwa sababu tu watawala hawajui wanapoteza hela nyingi kwa kukataa kuwatambua raia wake wanaoishi ughaibuni. Kenya, Uganda na Rwanda zinaizidi Tanzania. Wakati mwingine inaonekana kama viongozi wa Tanzania wana uelewa mdogo wa mabadiliko yanayotokea duniani. Sijui ni kwa sababu ya mwengeπTuna wivu wa kijinga kwa diaspora!
Hiyo ardhi inasaidia nini kama mpaka sasa hatujaweza hata kujitosheleza kwa chakula sembuse kuilisha Afrika Mashariki?Tunalinda ardhi yetu yenye rutuba kulioko zote Africa
Ingekuwa vizuri na Tanzania ingeruhusu uraia pacha kama vile nchi ya Zanzibar ilivyofanya.Zanzibar mbona kuna uraia pacha, wana NIDA na kitambulisho cha mzanzibar
Unataka kuniambia Rwanda iko makini zaidi kiulinzi kuizidi Tanzania? Mbona yenyewe imeruhusu siku nyingi na haijawahi kujutia hilo zaidi ya kuonesha inavyonufaishwa na huo utaratibu?Uraia pacha ni bomu.
Tuna wakimbizi ambao wapo kwenye maamuzi muhimu ya hii nchi (kwa mujibu wa CDF) na ndio hawa ambao wanadhorotesha uchumi
Tukiruhusu uraia pacha si ndio tunawapa kibali cha kutufukuza nchini mwetu kabisa na kuleta maafa
Watu wa huku Tanzania ni wengi washamba na wenye roho mbaya ndio wanaozuia Uraia pacha !Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.
Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:
Uganda (2005)
Kenya (2010)
Congo DRC (2011), na,
South Sudan (2011).
Je kijiografia hizo nchi mbili zinafanana,Unataka kuniambia Rwanda iko makini zaidi kiulinzi kuizidi Tanzania? Mbona yenyewe imeruhusu siku nyingi na haijawahi kujutia hilo zaidi ya kuonesha inavyonufaishwa na huo utaratibu?
Mimi sioni kama uwepo wa wakimbixi ni tatizo. Hata Rwanda, South Sudan na Uganda kuna wakimbizi. Watawala wa Tanzania wasione ni sifa kuwa nyuma karibia kila kitu mpaka inatia aibu.
Kama inahofia hilo, iweke Sheria itakayomrahisishia Mtanzania kubaki na Utanzania wake pale anapoamua kuchukua uraia wa nchi nyingine, lakini iwe vigumu kwa raia wa nchi nyingine kupata uraia wa Tanzania.
Hilo nalo litashindikana?