Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

wanaogopa watu watakuja kudai mali zilizo taifishwa za mababu zao. miji yote Tanzania kwenye zile nyumba za NHC ni mali ya wahindi na warabu, huko ZNZ ndio usiseme, nyumba zote za mjini ni za waoman. Mashamba ya karafuu.
 
Uraia pacha ni bomu.

Tuna wakimbizi ambao wapo kwenye maamuzi muhimu ya hii nchi (kwa mujibu wa CDF) na ndio hawa ambao wanadhorotesha uchumi

Tukiruhusu uraia pacha si ndio tunawapa kibali cha kutufukuza nchini mwetu kabisa na kuleta maafa
Naunga mkono.Hapo Mashariki ya Congo vurugu zilizopo zinaletwa na swala la uraia pacha.Kunathread ipo humu Jf nimeisoma jana.Someni hiyothread itawasaidia kupata jibu la thread hii bila shaka kabisa.Muandishi ameiandika thread hiyo kwa umahiri mkubwa
 
DRC ina matatizo ya kihistoria, ni uelewa mdogo kuvitumia hiyo nchi ambayo kiuhalisia iko vipandevipande tokea enzi za Mobutu, nchi nyingi hasa zenye uchumi mdogo zinafaidika sana uraia pacha.
Nchi imejifunga na raia(mostly wasio na exposure) si tu kwa wamejawa na inferiority complex lakini wana husda, wivu na chuki zilizokithiri dhidi ya diaspora.
 
Kufuatia zoezi linaloendelea huko Marekani la kuwarudisha makwao wahamiaji haramu, na furaha inayoonyeshwa na baadhi ya Watanzania juu ya njozi zao za kutaka kuwaona Watanzania waishio Marekani nao wakirudishwa [bila kujali hali zao za kiuhamiaji], sasa nimepata kujua au kuelewa sababu ya/za kwa nini suala la uraia pacha linapingwa sana na baadhi ya watu.

Roho za kutu. Wivu. Husda. Tukose wote. Chuki. Na kadhalika.

Hizo ndizo sababu kuu zinazowasukuma baadhi ya Watanzania kupinga uraia pacha.

Kama mtu anafurahia habari za watu kurudishwa makwao toka Marekani, tena watu ambao hawajui na hajui hali zao za kiuhamiaji, unadhani ataunga mkono suala la uraia pacha?

Kitendo tu cha mtu kuishi Marekani, mwenzio anaona unafaidi sana.

Sasa ndo uongezewe na uraia pacha?

Abadani asilani!

Umaskini wa hali na mali ndo adui wetu mkubwa wa maendeleo.
Umaskin wa watanzania wengi ni LAANA kubwa kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.
 
Hofu ni ccm inawaogopa diaspora pili diaspora hawaathiriki na moshi wa mwenge.
Mwenge ukifa na ccm itakufa.
Diaspora Wana upeo mkubwa kwa sababu hawaathiriki na moshi wa mwenge
 
Very ill informed pumbavu wewe. Diaspora wachache kama wewe hawana elimu ndiyo wanaofanya kazi za kawaida ambazo wazungu wasiosoma pia wanazifanya. Kaka acha upumbavu, huku kuna watanzania madaktari, mawakili wa nguvu, wafanyakazi kwenye ofisi za serikali wa maana na wengineo maprofessa wengi wenye uwezo mkubwa na wanaoheshimika sana. Wewe peleka propaganda zako huko huko kwa wenzio waliojaa wivu vichwani. WATANZANIA SIYO MANAMBA KWENYE NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI, KAZI WANAZOFANYA ZINAFANYWA PIA NA WATU WEUPE. NA KUNA WENGINE WAPO WANAOONGOZA WAZUNGU UNAOWAONA NI MALI. una mawazo potofu za karne ya kijinga wewe fala.
Today I have seen another Slave. Poor you Manamba!
 
mbona povu
 
Back
Top Bottom