Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

Kufuatia zoezi linaloendelea huko Marekani la kuwarudisha makwao wahamiaji haramu, na furaha inayoonyeshwa na baadhi ya Watanzania juu ya njozi zao za kutaka kuwaona Watanzania waishio Marekani nao wakirudishwa [bila kujali hali zao za kiuhamiaji], sasa nimepata kujua au kuelewa sababu ya/za kwa nini suala la uraia pacha linapingwa sana na baadhi ya watu.

Roho za kutu. Wivu. Husda. Tukose wote. Chuki. Na kadhalika.

Hizo ndizo sababu kuu zinazowasukuma baadhi ya Watanzania kupinga uraia pacha.

Kama mtu anafurahia habari za watu kurudishwa makwao toka Marekani, tena watu ambao hawajui na hajui hali zao za kiuhamiaji, unadhani ataunga mkono suala la uraia pacha?

Kitendo tu cha mtu kuishi Marekani, mwenzio anaona unafaidi sana.

Sasa ndo uongezewe na uraia pacha?

Abadani asilani!

Umaskini wa hali na mali ndo adui wetu mkubwa wa maendeleo.
 
Kwa hiyo hicho ulichoandika ndio uwezo wako wa kufanya argument ulipoishia? Kwanini usingeomba mtu anayepinga uraia pacha kama wewe akusaidie kuwasilisha mada kwa hoja?

Hicho ulichoandika ni sawa na mimi niandike, Mrisho Ngasa ni bora Kuliko Rivaldo. Halafu nimemaliza.
 
Kufuatia zoezi linaloendelea huko Marekani la kuwarudisha makwao wahamiaji haramu, na furaha inayoonyeshwa na baadhi ya Watanzania juu ya njozi zao za kutaka kuwaona Watanzania waishio Marekani nao wakirudishwa [bila kujali hali zao za kiuhamiaji], sasa nimepata kujua au kuelewa sababu ya/za kwa nini suala la uraia pacha linapingwa sana na baadhi ya watu.

Roho za kutu. Wivu. Husda. Tukose wote. Chuki. Na kadhalika.

Hizo ndizo sababu kuu zinazowasukuma baadhi ya Watanzania kupinga uraia pacha.

Kama mtu anafurahia habari za watu kurudishwa makwao toka Marekani, tena watu ambao hawajui na hajui hali zao za kiuhamiaji, unadhani ataunga mkono suala la uraia pacha?

Abadani asilani.

Umaskini wa hali na mali ndo adui wetu mkubwa wa maendeleo.
Hakuna assignment ngumu kama kuambiwa tofautisha Utanzania na Ushirikina.
 
Kwani, kama nchi tungepata hasara gani kama tungeruhusu uraia pacha?
 
Hakuna assignment ngumu kama kuambiwa tofautisha Utanzania na Ushirikina.
Sitoshangaa kuwepo kwa watu humu humu JF, wanaoenda kwa waganga kutafuta urozi ili waweze kusababisha watu flani flani ‘wanaojidai’ kuwa wako Marekani, warudishwe 🤣.

Kuna binadamu wa ajabu sana ulimwenguni!
 
Tanzania ni moja nchi ambazo hazitaki kabisa uraia pacha.
Nchi nyingine ni china
Kenya imefaidika. Mfano mwaka 2023 iliingiza dola takriban bilioni tano kutoka kwa wakenya waishio nje ambapo uwekezaji ulikuwa takriban dola bilioni mbili tu. Tanzania iliingiza dola milioni 570 huku serikali ikihaha kuwavutia diaspora inaowaona wabaya lakini dola yao mali. Katika kipindi hicho hicho Tz iliingiza takriban dola milioni 700 za uwekezaji ambazo zina masharti kibao. Kwa wasioona mbali, haya hawayaoni. Hii ni moja ya siri ya nchi ndogo chini ya nusu ya TZ kuwa na uchumi mkubwa kuliko Tz ambayo inatawaliwa na watu wenye uncommonsense
 
Tanzania ni moja nchi ambazo hazitaki kabisa uraia pacha.
Nchi nyingine ni china
Kendema, leta takwimu ukiwa hapa JF...
Kama uko pale pembeni kituo cha UDART, mnahesabu abiria, hakuna neno........
 
Wabongo watakuwa mtu kati ba udalali wa ardhi mpaka iishe.
 
Kwasasabu si lazima kila lifanywalo na dunia na Tz ifanye.Sisi hatujaona faida ya kuwa na mamluki,maoportunistic,inchi yetu haina shida ya raia wa kuazima,nk.

Nyie ndo wale hamna stadi za maisha na hamna OBJECTIVE,MISSION wala VISSION mnaishi kusindikiza wengine. Kazi yenu ni kuishi maisha ya watu,leo jirani kapaka rangi nyumba na wewe unajitutumua unapaka.Jirani kesho akiezua bati lake la kiboko akaweka alafu na wewe utaiga kisa tu na wewe utembee na upepo hata kama huna uhitaji.

Hii dunia haina formula.Na ndio maana kuna nchi zina ongozwa na kiongozi mmoja mpaka kufa na nyingine zinaongozwa na viongozi tofautitofauti kila baada ya miaka 4 au 5.

📌📌📌Badilika jitambue!!!
 
In terms of Diaspora remittance, Kenya has remitted about USD 5.2 Billions for just two years, Tanzanian in Diaspora had remitted $107 Millions for the same period. Try to think right.
Huo uchumi wa MANAMBA( SLAVES IN THE NAME OF DIASPORA) ni uchumi hewa.Nchi ijikite kwenye kufanya EXPORT zaidi ya import.

Nchi ziboreshe mazingira na maisha kiujumla ili raia wake waache kwenda kuwa (CHEAP LABOUR) walinzi na mahousemaid huko UGHAIBUNI.

Nchi ziache kujificha kwenye kichaka cha DIASPORA( HII NI MORDERN TYPE OF SLAVERY).

TRUMPET MUST DEPORT ALL THOSE SLAVES BACK TO THEIR SHITHOLE COUNTRIES.

📌📌📌PROBLEMS HAZIKIMBIWI ZINATATULIWA.
 
Very ill informed pumbavu wewe. Diaspora wachache kama wewe hawana elimu ndiyo wanaofanya kazi za kawaida ambazo wazungu wasiosoma pia wanazifanya. Kaka acha upumbavu, huku kuna watanzania madaktari, mawakili wa nguvu, wafanyakazi kwenye ofisi za serikali wa maana na wengineo maprofessa wengi wenye uwezo mkubwa na wanaoheshimika sana. Wewe peleka propaganda zako huko huko kwa wenzio waliojaa wivu vichwani. WATANZANIA SIYO MANAMBA KWENYE NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI, KAZI WANAZOFANYA ZINAFANYWA PIA NA WATU WEUPE. NA KUNA WENGINE WAPO WANAOONGOZA WAZUNGU UNAOWAONA NI MALI. una mawazo potofu za karne ya kijinga wewe fala.
 
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.

Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?

Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.

Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.

Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:

Uganda (2005)

Kenya (2010)

Congo DRC (2011), na,

South Sudan (2011).
Mbona unauliza jibu? Ya kwanza ilikuwa Burundi, what is Burundi? Kuna Taifa kinaitwa Burundi au mchanyaiko wa Makabila Wahutu na Watursi, Kila mmoja yuko vitani na mwenziye? Wakafuata Kenya, hujui Ukabila wa Kenya? Wengi wao ni refugees kutoka Vita vya mara kwa mara. Ando so on and so forth. Tanzania tuna bahati tuna Taifa moja. Si kweli kuwa haturuhusu uraia wa Nchi ingine: saa yoyote ukitaka kuwa Mkenya nenda Kenya wakikukubalia, wakishakubali rudidisha Uraia wetu, ni chaguo lako. Si Kenya pekee unaweza pia kuwa raia wa India au South Sudan au Canada, ni juu yako wakikuruhusu.
 
Very ill informed pumbavu wewe. Diaspora wachache kama wewe hawana elimu ndiyo wanaofanya kazi za kawaida ambazo wazungu wasiosoma pia wanazifanya. Kaka acha upumbavu, huku kuna watanzania madaktari, mawakili wa nguvu, wafanyakazi kwenye ofisi za serikali wa maana na wengineo maprofessa wengi wenye uwezo mkubwa na wanaoheshimika sana. Wewe peleka propaganda zako huko huko kwa wenzio waliojaa wivu vichwani. WATANZANIA SIYO MANAMBA KWENYE NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI, KAZI WANAZOFANYA ZINAFANYWA PIA NA WATU WEUPE. NA KUNA WENGINE WAPO WANAOONGOZA WAZUNGU UNAOWAONA NI MALI. una mawazo potofu za karne ya kijinga wewe fala.
Kama ni madaktari kwa nini wasibaki Watanzania huku wanafanya kazi huko? Mbona hapa Kuna expatriates wanafanya kazi huku ni raia wa Nchi zao?
 
Kama ni madaktari kwa nini wasibaki Watanzania huku wanafanya kazi huko? Mbona hapa Kuna expatriates wanafanya kazi huku ni raia wa Nchi zao?
Wewe unajishangaa mwenyewe? Hiyo ndiyo kitu kinachoitwa free movement of labours, Kuna watu wana interest ya kufanya kazi TZ, wanalipwa vizuri. Watanzania hawalipwi sana kwenye nchi hiyo yenye rushwa. Angalia kaka, daktari bingwa Tanzania analipwa around dollar 700, wakati Marekani na Ulaya analipwa Dollar 23,000. unaona hiyo tofauti? Wote wamemaliza kozi ya MD miaka 5 na mmoja wa Residence, kazi wanazofanya zinafanana. Mbunge wa Tanzania ambaye hakwenda shule kama Babu Tale au Msukuma analipwa zaidi ya Dollar 9000 kwa mwezi, bila kuhesabau posho ya kuhudhuria bunge, na gratuity ya Dollar 200,000 kila anapomaliza miaka mitano. Sasa wewe unataka daktari aliyeumia chuoni miaka 6 hadi 8 alipwe sawa na mfanyakazi wa chini? Ipo wapi ile scale ya mshahara wa zamani tukiuita Rare professional, au ndiyo rare profession ndiyo wabunge? Fikiria.Hao wazungu, expatriates wanaokuja kufanya kazi Tanzania wanalipwa posho na serikali ya Tanzania, pia wanalipwa mishahara na mashirika yaliyowaleta,vinginevyo hawakubali kufanya kazi kwa malipo ambayo ni peanuts. Unless wamekufanya kufanya volunteering.
 
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.

Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?

Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.

Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.

Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:

Uganda (2005)

Kenya (2010)

Congo DRC (2011), na,

South Sudan (2011).
Hilo ni tendo la kimalaya, chagua nchi moja. Km hujui umuhimu wa kuridhika hutajua madhara ya tamaa.
 
Unataka kuniambia Rwanda iko makini zaidi kiulinzi kuizidi Tanzania? Mbona yenyewe imeruhusu siku nyingi na haijawahi kujutia hilo zaidi ya kuonesha inavyonufaishwa na huo utaratibu?

Mimi sioni kama uwepo wa wakimbixi ni tatizo. Hata Rwanda, South Sudan na Uganda kuna wakimbizi. Watawala wa Tanzania wasione ni sifa kuwa nyuma karibia kila kitu mpaka inatia aibu.

Kama inahofia hilo, iweke Sheria itakayomrahisishia Mtanzania kubaki na Utanzania wake pale anapoamua kuchukua uraia wa nchi nyingine, lakini iwe vigumu kwa raia wa nchi nyingine kupata uraia wa Tanzania.

Hilo nalo litashindikana?
We bwege ulishaukana uraia wa Tanzania umesahau nini huku Tanzania? Tulia huko uliko ulichagua mwenyewe
 
Back
Top Bottom