Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

wanaogopa watu watakuja kudai mali zilizo taifishwa za mababu zao. miji yote Tanzania kwenye zile nyumba za NHC ni mali ya wahindi na warabu, huko ZNZ ndio usiseme, nyumba zote za mjini ni za waoman. Mashamba ya karafuu.
 
Uraia pacha ni bomu.

Tuna wakimbizi ambao wapo kwenye maamuzi muhimu ya hii nchi (kwa mujibu wa CDF) na ndio hawa ambao wanadhorotesha uchumi

Tukiruhusu uraia pacha si ndio tunawapa kibali cha kutufukuza nchini mwetu kabisa na kuleta maafa
Naunga mkono.Hapo Mashariki ya Congo vurugu zilizopo zinaletwa na swala la uraia pacha.Kunathread ipo humu Jf nimeisoma jana.Someni hiyothread itawasaidia kupata jibu la thread hii bila shaka kabisa.Muandishi ameiandika thread hiyo kwa umahiri mkubwa
 
Naunga mkono.Hapo Mashariki ya Congo vurugu zilizopo zinaletwa na swala la uraia pacha.Kunathread ipo humu Jf nimeisoma jana.Someni hiyothread itawasaidia kupata jibu la thread hii bila shaka kabisa.Muandishi ameiandika thread hiyo kwa umahiri mkubwa
DRC ina matatizo ya kihistoria, ni uelewa mdogo kuvitumia hiyo nchi ambayo kiuhalisia iko vipandevipande tokea enzi za Mobutu, nchi nyingi hasa zenye uchumi mdogo zinafaidika sana uraia pacha.
Nchi imejifunga na raia(mostly wasio na exposure) si tu kwa wamejawa na inferiority complex lakini wana husda, wivu na chuki zilizokithiri dhidi ya diaspora.
 
Umaskin wa watanzania wengi ni LAANA kubwa kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.
 
Hofu ni ccm inawaogopa diaspora pili diaspora hawaathiriki na moshi wa mwenge.
Mwenge ukifa na ccm itakufa.
Diaspora Wana upeo mkubwa kwa sababu hawaathiriki na moshi wa mwenge
 
Today I have seen another Slave. Poor you Manamba!
 
mbona povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…