Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
Ukiwa Single unakuwa huna confidence na na unakuwa na shauku sana. Hizo ni sababu tosha za kupigwa kibuti.
 
Tena saaana, wakeshe wakiomba jini ugwadu afe...
 
Aiseee
 
mwenyekiti umesikia hii Castr
 
Ni kama vile wanakusoma usoni a kugundua uko single hlafu wanajiuliza,kama umewakosa kabisa huko k
ote ata na mm hunipati.
 
Mi naamini mwenye nacho huongezewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…