Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dawa nikudumisha kucharaza tuSijui kwnn?Ila ukiwa nao hata wale wanaokuona watakubali ukiwagusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa Single unakuwa huna confidence na na unakuwa na shauku sana. Hizo ni sababu tosha za kupigwa kibuti.Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
AiseeeUjue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.
NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
mwenyekiti umesikia hii CastrLove inakuwa prompted na kitu kinaitwa Pheromones ( aina fulani ya hormones). Hizi ndiyo huamsha upendo kwa jinsia nyingine.
Na mwili hutoa sana hiI hormones kama unangonoka mara kwa mara. Kama hungonoki hormones hizi hazitoki hivyo ukipishana na jinsia nyingine huamshi mzuka , unakuwa kama dada/Kaka yake.
With; ngonokeni sana ili kupata wapenzi wapya.
[emoji23] kweli aiseeMaandiko yanasema: ''Mwenye nacho ataongezewa''.
Akili kumkichwa.
-Kaveli-
Mkuu nakusalimu naona sikuhzi umekua baba ushauri 😀 😀Ujue kile kitendo cha kudinyana kimsingi kinakuwa kama kinakuweka ktk hali ya kunukia flani hivi kwahiyo inakuwa kama chambo kwenye ndoano vile
Niko poa mhenga mwenzangu, hofu kwako tu na "maliyamtu" hapo
Hahaha maliyamtu haijambo kabisaaa na mwenye mali pia hajambo..kweli bhana si mbaya kuwapa vijana uzoefu ulonaoNiko poa mhenga mwenzangu, hofu kwako tu na "maliyamtu" hapo
[emoji3] [emoji3] mara moja moja sio mbaya kushauri