Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
Ukiwa Single unakuwa huna confidence na na unakuwa na shauku sana. Hizo ni sababu tosha za kupigwa kibuti.
 
Tena saaana, wakeshe wakiomba jini ugwadu afe...
 
Ujue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.

NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
Aiseee
 
Love inakuwa prompted na kitu kinaitwa Pheromones ( aina fulani ya hormones). Hizi ndiyo huamsha upendo kwa jinsia nyingine.

Na mwili hutoa sana hiI hormones kama unangonoka mara kwa mara. Kama hungonoki hormones hizi hazitoki hivyo ukipishana na jinsia nyingine huamshi mzuka , unakuwa kama dada/Kaka yake.

With; ngonokeni sana ili kupata wapenzi wapya.
mwenyekiti umesikia hii Castr
 
Ni kama vile wanakusoma usoni a kugundua uko single hlafu wanajiuliza,kama umewakosa kabisa huko k
ote ata na mm hunipati.
 
Back
Top Bottom