Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

Hahaha maliyamtu haijambo kabisaaa na mwenye mali pia hajambo..kweli bhana si mbaya kuwapa vijana uzoefu ulonao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaaa

Nafurahi kusikia haijambo kabisaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ipe hai mhenga mwenzangu- iambie mbalizi1 nipo nae hapa anatoa salamu za dhati kbs[emoji2] [emoji2]
 
Ujue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.

NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
Kweli kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kipindi nilifikiri ukiwa na shauku ndo demu anajua unamzimia nikaja kugundua kumbe ni vice vesa kama unavyosena, sasa je ni kwanini hawatak mwanaume mwenye shauku sana?
kweli kbsa mm pia imenitokea demu ukionesha dalli z kuw unampenda sna atakuw n maringo flani hv mwsho w siku n kutemana 2
 
Ukiwa single unatafasiliwa kama hujui kuhudumia,pia ukiwa unatumia sana mbunye kuna kaharufu furani ka uanachama unakuwa nako,Na hivyo kuwalahisishia wao wakutambue kuwa wewe ni mdau
 
Ujue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.

NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU
.
Umeongea ukweli kabisa
 
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
 
Back
Top Bottom