HUNA HELA...FULLSTOP
wewe ndio umeongea point ....ukiwa na hela mbona unawapanga utakavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUNA HELA...FULLSTOP
HahahahaaaaaaaHahaha maliyamtu haijambo kabisaaa na mwenye mali pia hajambo..kweli bhana si mbaya kuwapa vijana uzoefu ulonao
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 we hamna kabisaaHahahahaaaaaaa
Nafurahi kusikia haijambo kabisaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ipe hai mhenga mwenzangu- iambie mbalizi1 nipo nae hapa anatoa salamu za dhati kbs[emoji2] [emoji2]
Kweli kabisaaaaUjue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.
NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
Wooooiiiiiiiiiii wooooooiiiiiiii
😛 😛Wooooiiiiiiiiiii wooooooiiiiiiii
(majibu toka kwa huyu mbalizi1 hapa)[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3]
kweli kbsa mm pia imenitokea demu ukionesha dalli z kuw unampenda sna atakuw n maringo flani hv mwsho w siku n kutemana 2kuna kipindi nilifikiri ukiwa na shauku ndo demu anajua unamzimia nikaja kugundua kumbe ni vice vesa kama unavyosena, sasa je ni kwanini hawatak mwanaume mwenye shauku sana?
Umeongea ukweli kabisaUjue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.
NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
Umeongea ukweli kabisa