Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Ni vigumu kwasababu upendo unahitaji commitment sasa hiki kizazi ni cha kususa hata kama mtu anajua akiomba msamaha atasamehewa kunapokuwa na malumbano anaogoma.. sababu ya ego n.kEwe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo wa wenza wao.
Kwa mfano ukiona mwanaume anampenda sana mdada kwa kumgharamikia Pesa nyingi Na kumfukuzia kwa muda mrefu, ujue huyo mdada yuko hapo ilimradi tu apate hela siku ziende, au hatongozwi na aina ya wanaume anaowataka, na ukiona mdada anampenda sana mwanaume, ujue kinachomweka huyo mwanaume Kwenye huo uhusiano ni utelezi tu, au utakuta kinachomweka mwanaume kwenye huo uhusiano ni kuwa ameshindwa kupata Aina ya wadada anaowataka
Nahisi hii ni moja ya sababu wanandoa wengi na couples kuishia kupigana na vitu vizito, ila kwa wenye uvumilivu wakikutana na Hali hii, ingawa mmojawapo hampendi mwenzie, mmoja atavumilia, na ndoa itadumu hata miaka 60 hadi kifo kiwatenganishe.
Kwa kifupi unaweza pendwa hata na shetani.. mradi tu uoneshe commitment
Mfano mzuri Harmonize watu walimcheka sana kipindi anasumbuka kumrudisha kajala.. saa hii anakula mema ya nchi [emoji23]
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app