Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

Ni vigumu kwasababu upendo unahitaji commitment sasa hiki kizazi ni cha kususa hata kama mtu anajua akiomba msamaha atasamehewa kunapokuwa na malumbano anaogoma.. sababu ya ego n.k

Kwa kifupi unaweza pendwa hata na shetani.. mradi tu uoneshe commitment

Mfano mzuri Harmonize watu walimcheka sana kipindi anasumbuka kumrudisha kajala.. saa hii anakula mema ya nchi [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ofcourse hakuna namna utapata mtu ambaye utampata akiwa perfect. Nahitaji mwanamke ambaye hata akinitolea offsprings watakuwa smart kids sio ilimradi tu.

Atleast mwanamke awe na hio quality hayo mengine ni ziada.
 
Halafu hii inatokea zaidi sikuhizi, ila zamani wapenzi walipendana sana mpaka inafikia mmoja anakufa kwaajili ya mwenzie

Wanasikolojia wa Mapenzi wanasema yule mpenzi wako ''wa kwanza'' kumfahamu ndiye uliyempenda kutoka moyoni.
 
Yaani kiufupi nikila mbususu moja mara mbili mara tatu nakinai huo mda wa kupenda sijui nitatoa wapi
Nakubaliana na mzabzab alisema kupenda ni ugonjwa wa akili

Kwa mwanamume hata uwe na pisi kali gani ukishasuuza rungu mara 2 au 3 unakinai unatafuta mbususu nyingine mpya ya kuipelekea moto

Ndo hapo mara nyingi jamii huwa inauliza mbona jamaa ana mke mzuri sana na mrembo lakini bado kachepuka? Issue ni kukinai kwa hiyo unatafuta utamu mpya
 
Kwenye mahusiano lazima awepo Mmoja wa kubeba gharama za mahusiano Ili yafike mbali awe ni mwanamke au mwanaume, hamuwezi mkapendana, Upendo wa kiwango sawa lazima mzidiane, hata mtakapo korofishana inakuwa rahisi kupatana
 
Huyo mbeba gharama ndio mwisho wa siku akigundua mwenza wake kachepuka anaamua kumuua. Hivyo visa vimeongezeka sana saivi hapa Tz.

Utasikia kauawa kutokana na wivu wa kimapenzi
 
Huyo mbeba gharama ndio mwisho wa siku akigundua mwenza wake kachipuka anaamua kumuua. Hivyo visa vimeongezeka sana saivi hapa Tz.

Utasikia kauawa kutokana na wivu wa kimapenzi
Sasa hapo inategemeana, lakini wivu ni moja ya chachu muhimu katika ukuaji wa mahusiano, pasipokuwepo na wivu hakuna mapenzi hapo, kinachohitajika wivu usizidi kiasi, ukizidi kiasi ndio hayo ya kuuana yanazaliwa
 
Wivu sio mzuri na ili kuukomesha ni bora kuwa kwenye mahusiano ambayo mnakubaliana na mwenza wako kwamba kila mtu anakuwa huru kutoka nje akijisikia
 
Mawazo na mioyo haiwezi fanana, sababu we are not perfect...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…