Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?
Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.
Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.
Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.
Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.
Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.
Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.
Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.
Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.
They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.
Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.