Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?

Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.

Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.

Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.

Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.

Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.

Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.

Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.

Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.

Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.

They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.

Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.

You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.

Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Because nice guys are foolish guys.

To women if they say he is nice they mean he is foolish.
 
Kuna Kijana Mmoja mtoto wa Kiongozi Mmoja mstaafu anatesekaje na wanawake

Jamaa msomi na very kind person ila ana bahati mbaya sana wa kupata Vimeo, Mke wa kwanza amezaa naye mtoto Mmoja ndoa ikavunjika, Mke wa pili kesi ipo Mahakamani, mwingine kajilengesha anaujauzito
Jamaa anang'atwa na nyoka twice bado hastuki..? simhukumu ila yeye ni tatizo
 
Ebu fuatilitia suala la huyu jamaa alafu ukihitaji msaada njoo kwangu nitakusaidia. Mimi sio mganga! Natumia uzoefu kusaidia watu kama nyie!

"Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?

Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.

Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.

Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.

Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.

Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.

Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.

Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.

Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.

Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.

They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.

Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.

"You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.

Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional unentitled and unworthy woman".
 
Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?

Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.

Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.

Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.

Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.

Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.

Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.

Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.

Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.

Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.

They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.

Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.

You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.

Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Umeandika sana mjuba
 
Kimtazamo unaweza kuwa sahihi mkuu lkn mazingira na mifumo ina wafavour hao unaowaita feminism na ndio hapo chance ya nice guys kutoboa inapokuwa finyu,

Kimsisngi huyo nice guy atajipeleka mwenywewe tu kwa hao broken women kama mbwa anavyojipeleka kwa chatu
That's why you must be sharp and ruthless in dating pool. Judge a woman harshly based on her past.
 
Unadhani uki mjudge harshly utasaidia, pengine ukampata huyo unayesema ni nice girl or women whatever you name them, bt remember that people do change now or later kutegemea na mbilinge mbilinge za maisha, tena kiumbe kinachoitwa mwanamke sio cha kukiwekea guarantee kabisa.

Sasa hv kupata mwanamke material imekuwa bahati sn ni kama mchezo wa kubet tu so ndio maana hapo awali kabisa nilisema hayana kanuni mzee baba fanya ufanyavyo lkn ukiingia kwenye mfumo imeenda hiyo.
 
Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?

Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.

Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.

Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.

Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.

Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.

Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.

Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.

Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.

Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.

They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.

Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.

You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.

Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.

Kwamba nice guy anafanya faulo nyepesi ndani ya 18 za lango lake, mwamuzi ameamua penati ipigwe dakika ya 89!

Fact zako zimenivunja mbavu!

Muhimu, kijana wa kiume asome sekondari Form 1-IV kwenye shule mchanganyiko ya wavulana na wasichana. Umri muhimu wa kujifunza mahusiano ni 13 - 17 years. Kijana (binti ama mvulana) akikosa fursa kujifunza mahusiano ndani ya umri huu, kazi anayo huko aendako.

NB: kujifunza ninakosema sio kushiriki sex. Bali kujifunza kuhusu hisia halisi na hisia feki za mapenzi na mahusiano.
 
Back
Top Bottom