Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mwanaume wa kweli ana standards, hali kila anachokutana nacho, haongozwi na tamaa anaongozwa na logicmwanaume wa kweli hula vitu kama hivi huwa hatuviachi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa kweli ana standards, hali kila anachokutana nacho, haongozwi na tamaa anaongozwa na logicmwanaume wa kweli hula vitu kama hivi huwa hatuviachi!
kwendaMwanaume wa kweli ana standards, hali kila anachokutana nacho, haongozwi na tamaa anaongozwa na logic
Hapa sijakuelewa mkuuEbu fuatilitia suala la huyu jamaa alafu ukihitaji msaada njoo kwangu nitakusaidia. Mimi sio mganga! Natumia uzoefu kusaidia watu kama nyie!
Gentlement itadepend, but ukiambiwa na demu you seems you are a nice guy, huna value mbele yakeNice guy, real man na gentleman ni tusi kubwa sana kupewa moja ya izo sifa na mwanamke
Sikweli, vijana wengi wa kiume huchelewa sana kuanza mahusiano. Usitake kubalance mizani hapa. Huo ndio ukweli.Huyo "nice guy" wakati anajitafuta alikuwa anabanjuka na mbwa eti??
Si aoe hao aliokuwa anabanjuka nao maana watakuwa wanaendana?
Hili suala la ngono kabla ya ndoa ni la wote, si wasichana tu bali vijana na wazee wamo na wanachangia uharibifu wa jamii zetu kwa ujumla kiasi cha kusemwa hakuna maadili tena.
Hayo makurumbembe yanajua sana kuwawin wazazi, kuna kisa kimoja dem kajilengesha kwa jamaa, jamaa akawa kama yupo 50/50 dem kuona hivo ikabidi awahi kuji attach na wazazi wa mshikaji unajua nini kilifuata, dingi wa jamaa ni wale wazee wastaafu walikua kwenye chombo kimoja hapa nnjini, fast forward dingi alimla yule mkwilima wake kimasihara na yeye ndo akawa catalyst kuhakikisha mwanae anamuoaKivipi
Mwanaume ndie anaekwambia vaa kimini uende club ukacheze nusu uchi mbele ya umati?Wanao haribu Hawa women ni nani kama sio wanaume
Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini iyo isiwe sababu ya kubet kwa mwanamke ambae unaziona red flags.Unadhani uki mjudge harshly utasaidia, pengine ukampata huyo unayesema ni nice girl or women whatever you name them, bt remember that people do change now or later kutegemea na mbilinge mbilinge za maisha, tena kiumbe kinachoitwa mwanamke sio cha kukiwekea guarantee kabisa.
Sasa hv kupata mwanamke material imekuwa bahati sn ni kama mchezo wa kubet tu so ndio maana hapo awali kabisa nilisema hayana kanuni mzee baba fanya ufanyavyo lkn ukiingia kwenye mfumo imeenda hiyo.
Labda nikuulize ww binafsi swali mkuu, mwanamke mwenye past safi wewe unaweza kumjua? Unamjuaje?Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini iyo isiwe sababu ya kubet kwa mwanamke ambae unaziona red flags.
Kwanini ufanye gamble kwa mwanamke mwenye past chafu wakati wenye past safi wapo?
mkuu hebu elezea kidogo hapa.... KASONGO ni nini?halafu huko chumbani sasa uno feni,anaipandilia vizuri,mabusu yake matamu asali ikasome, mtoto anakulana kana kwamba kasongo!.
Hapo inategemea na namna Binti alivyolelewa na mazingira aliyokuwa exposed toMwanaume ndie anaekwambia vaa kimini uende club ukacheze nusu uchi mbele ya umati?
Usinichekeshe!
KabisaMwanaume wa kweli ana standards, hali kila anachokutana nacho, haongozwi na tamaa anaongozwa na logic
Ask any woman, who is real man/gentleman/nice guy? she will describe a man she can manipulate, use and cheat.Gentlement itadepend, but ukiambiwa na demu you seems you are a nice guy, huna value mbele yake
Medusa kabisa😅Ask any woman, who is real man/gentleman/nice guy? she will describe a man she can manipulate, use and cheat.
KIjana wa kike anaingia kwenye dating pool akiwa 14 yrs tu., kijana wa kiume akiwahi sana anaingia kwenye dating pool akiwa 18-20 hivi. that's why on most cases mwanamke wa age yako anakua amekuzidi uzoefu na ujuzi mkubwa hapo kwenye dating pool.Sikweli, vijana wengi wa kiume huchelewa sana kuanza mahusiano. Usitake kubalance mizani hapa. Huo ndio ukweli.
Godamit son , right on , i agree with that . Tatizo wanaume wanalelewa hawaelezwi ukweli, until wanapopigwa tukioAsk any woman, who is real man/gentleman/nice guy? she will describe a man she can manipulate, use and cheat.
***** hapa Jadda et al lazima akunje ndita akisoma nyuzi za namna hiiUnapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?
Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.
Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.
Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.
Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.
Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.
Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.
Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.
Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.
They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.
Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Wazazi wa hovyo wapo pia, sema sio rahisi wazazi kumuingiza chaka mtoto wao. Halafu iyo kukutafutia mke yaani wanampoint wao wenyewe mwanamke ambae wana file lake tangu akiwa mdogo hapo kijijini, ila ukijichanganya kutafuta gumegume la mjini halafu umpeleke kwa wazazi wamfanyie uhakiki ofcourse uyo gumegume ataigiza tu.Hayo makurumbembe yanajua sana kuwawin wazazi, kuna kisa kimoja dem kajilengesha kwa jamaa, jamaa akawa kama yupo 50/50 dem kuona hivo ikabidi awahi kuji attach na wazazi wa mshikaji unajua nini kilifuata, dingi wa jamaa ni wale wazee wastaafu walikua kwenye chombo kimoja hapa nnjini, fast forward dingi alimla yule mkwilima wake kimasihara na yeye ndo akawa catalyst kuhakikisha mwanae anamuoa