Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #21
Yap ni kweli unajua katika maisha mwanaume anapitia hatua mbili, na kwa bahati mbaya sana kwenye kila hatua mwanamke ni kipingamizi kwa mwanaume. Naturaly women are chaotic and distractors.Mi nadhani ukiwa kwenye moment ya kusaka mafanikio, tafuta pia mtu utakaye endana nae kwa wakati huo na ajue na kukubali kuwa upo kwny phase ya kutafuta success, kwaiyo kama ni tamaa za kijinga za ujanani azipunguze au azikatae kabsa. Kiuhalisia wenza wa namna hii wapo, ukiona ambaye haendani na matakwa yako piga chini, songa na safari yako ya mafanikio.
Kwa upande mwingine wa kusaka mafanikio kwanza, alafu ndo uje utafute mwenza wa kutulia nae na kujenga familia, hapa una 90% ya kupata bomu (damaged women), kwasabb uyo mwenza anakuwa hajui msoto wako mpk umefika hapo ulipo, na mostly wanakupenda kutokana na mafanikio uliyonayo. Hivyo ikitokea umetepeta kidogo, hamna rangi utaacha kuona.
N.B; haya mambo hayana formula, ni swala la kumshirikisha na MUNGU ili umpate yule sahihi wa kudumu nae kwny nyakati zote.
Hatua ya kwanza ni kipindi ambacho mwanaume anajitafuta. Hapa mwanaume anakua late 10's au 20's. Hiki ni kipindi ambacho mwanamke anakuja kwenye maisha yako kupunguza kasi yako kupambana. Wote tunajua mahusiano ni liability kwa mwanaume. Utapoteza muda, nguvu na resources chache ulizonazo vitu ambavyo ni muhimu sana kwenye mapambano. Infact, hata kama mwanamke yupo nawe kwa nia njema bado kuna namna atakua liability tu.
Hatua ya pili ni pale ambapo umejipata. Hapa mara nyingi mwanaume anakua 30's katika hiki kipindiwanawake watakuja ili wanufaike na mafanikio, na ukikaa vibaya watakuangusha kabisa.
Mimi nafikiri maamuzi sahihi zaidi ni kukaa mbali na mahusiano kwanza ili muda, nguvu na rasilimali zote ueleleze kusaka mafanikio, then ndio utemgeneze committed relationship. Ofcourse wanawake watavutiwa zaidi na mafanikio na hakuna ubaya wa ilo kila mtu anapenda kuwa attached na mtu ambae amefanikiwa kimaisha. Lakini cha kuzingatia mwanamke uyo utakaemchagua awe na standards za maana ambazo ni heshima, nidhamu, utiifu, past safi, ametokea kwenye familia bora na itakua vizuri zaidi akiwa bikira