Mkuu tunapoelekea hawa wanawake hawataamini, unajua baadhi ya wanaume washaanza badili mitazamo kuwekeza kwenye kutafuta zaidi kuliko mahusiano tena hawana kabisa mpango nina ushahidi kulingana na ninapofanyia kazi na kila ninapokuwa mtaani au viwanja kuhang na wana.
Mimi binafsi ni miongoni mwao nipo age of 30's nina watoto wawili naiona tofauti kubwa sana kuwa mwenyewe kuliko kuishi na mwanamke nothing to stress me zaidi ya kazi na nimepiga hatua kubwa sana kuliko nilipokuwa na hao viumbe ile serious relationship.
Sas kuna mpaka wazee hawataki kabisa habari za mahusiano na wanafurahia maisha i wonder uko mbele hali itakuaje.
N.B Vimeo vyakukata upwiru ni vipo vingi but nina limit navyo tukimalizana kila mtu anashika njia zake.