Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

NOMA SANA MKUU....

Much respect for you mkuu, thread zako huwa zinanikumbusha kitabu cha "an unplugged alpha the no bullsh*t guide to winning with women and life", cha Richard cooper.
Kinaelezea nn mkuu??
 
Demage = damage
 
Hapana kwanini sina roho mbaya ni mtoto wakijijini mwenye heshima na upendo mie kila nikimkubali mtu humu na pata shida ndio.maana na wewe unauhitaji nipo serious
😁
Mmh, sio lazima upate humu anza na hapohapo mtaani kwako
Sina uitaji
 
Iyo ni excuse ya simps tu lakini formula ipo. How comes wazee wetu waliyamudu lakini vijana wa leo wanaonekana kuzidiwa akili na wanawake?, somewhere somehow wanaume tumetoka nje ya formula.
Na huko tunakoenda kazi nyingi wanazofanya wakina mama watafanya vijana,mambo yanasogea taratibu,wazee wakucha wamejaa mitaani,mapishi ndio wametandazana barabarani kuchoma chapati,simaoenzi tu ila vijana uwajibaki hakuna sabbau ya vyakula na malezi ya hovyo especially single parenting imeua sana gen z
 
Basi tu ila mapenzi hayana faida yoyote ni basi tu yapo overrated.

Ni very risk hususani kwa mwanaume kwa sababu asilimia kubwa kwako ni Liability unless ubahatike kupata partner ambaye anafit kwenye falsafa zako hapo unakuwa umeshinda bet.
 
KWa mwanaume gharama za maisha ni ndogo ukiwa single na kubwa ukiwa kwenye mahusiano/ndoa

KWa mwanamke gharama za maisha ni kubwa akiwa single na ndogo au free kabisa akiwa kwenye mahusiano/ndoa
 
Tumeisha
 
KWa mwanaume gharama za maisha ni ndogo ukiwa single na kubwa ukiwa kwenye mahusiano/ndoa

KWa mwanamke gharama za maisha ni kubwa akiwa single na ndogo au free kabisa akiwa kwenye mahusiano/ndoa
Hii tafiti nimeifanya mwaka huu na unacho kiongea ni sahihi....

Kuna namna inabidi tuwe tunahakikisha tunaenda na calculated risk.

2025 siwezi kurudia the same mistake. Tukimbizane na ndoto kwanza βœ…
 
NOMA SANA MKUU....

Much respect for you mkuu, thread zako huwa zinanikumbusha kitabu cha "an unplugged alpha the no bullsh*t guide to winning with women and life", cha Richard cooper.
Ije kwa soft copy tupate maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…