Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Mbona makosa tunafanya sisi lawama tunamtupia shetani ?
Tafadhali jibu maswali yafuatayo:-
Je unamfahamu shetani?
Je nimemlaumu kwa kipi?
Je werevu ni Baraka au ni laana?
 
Asante sana, ninawapata mwenyewe
unaweza kuniingiza chaka
Hapana kwanini sina roho mbaya ni mtoto wakijijini mwenye heshima na upendo mie kila nikimkubali mtu humu na pata shida ndio.maana na wewe unauhitaji nipo serious
 
Hapana kwanini sina roho mbaya ni mtoto wakijijini mwenye heshima na upendo mie kila nikimkubali mtu humu na pata shida ndio.maana na wewe unauhitaji nipo serious
Asante kwa nia yako njema, ila nope
Hao wa vijijini nao matapeli
Kwanini upate shida, na wewe utakuwa na changamoto mahaali
 
Asante kwa nia yako njema, ila nope
Hao wa vijijini nao matapeli
Kwanini upate shida, na wewe utakuwa na changamoto mahaali
Mimi sina mie mwema napia napenda kuwa na mtu ila sasa wengi wa humu sio ligi yangu nawaogopa sana hata wengi tu wananiambia inbox na nyamazaga
 
Ndo inavyokuwaga vicheche na wazuri, wazuri na vicheche. Mambo yamekuwa juu chini chini juu
 
Wanao haribu Hawa women ni nani kama sio wanaume .....Mimi najua kama wewe nice guy you'll always attract a nice woman ....we attract what we are .,...na ukipata mwanamke hamuendani nae kuna mahali ulimkosea Mungu
Mitume waliooa wanawake waovu pia, kwa maana nao walikuwa waovu!?.

Wanawake wema walio olewa na waume waovu, kwa maana nawao walikuwa waovu!?.

Kupanga ni kuchagua.
 
Hahaaa
Mimi ni Mmoja kati ya watu wanaoheshimu sana wanawake hasa kwa nafasi Yao katika maisha yetu.

Ila kama You have a big vision and mission that you want to realize I kindly advice to leave women behind.

Ogopa sana mtu anayekupa opportunity ya kurelax wakati ambapo ulitakiwa u struggle na u hustle.huyu hakusaidii bali anaku hold back.

Fuatilia wanasayansi wakubwa hasa walioweka msingi wa kile tunachoita sayansi karibu wote hakuna aliyekuwa na mahusiano yanayoeleweka mpaka wanafikia malengo.Thats not coincidence bali kuna kitu nature inakutahadharisha.

Kama unataka kwenda haraka nenda mwenyewe,kama unataka kwenda mbali nenda na mwanamke.Ila kama unataka kufika unakokwenda please muache mwanamke.
 
Don't be a nice guy, be a good guy,,,,,,,,!

Screenshot_20241202-235704~2.png
 
You have to read a woman mind before you are approaching her,if she really loves you she never ask you for a money but if you just start dating and issue of voucher,saloon stuff she is not into you she doesn't like you but she see you as a simp ,if she find other one who have more money than you she will live you just try to read her mind
 
Halafu hao damaged women huwa wanajua sana kufanya subbotage kwa wanawake wenzao pamoja na kutekenya ego ya mwanaume hili ajae kwenye mfumo wao.

Kwanza huwa wanaanza na kuponda mabinti wenye umri mdogo na ambao Badollp hawajazaa.... Unakuta huyo damaged woman tayari ni single mother halafu Yuko 30+ basi haishi kuwakandia mabinti walioko kwenye 20s na hawapajui leba kwamba hawajitambui, hawana akili za maisha na kubwa zaidi eti mabinti hao ni mama wa marehemu yaani ni watoa mimba sugu,

halafu anawapondea hivyo huku yeye akijivika utakatifu kwamba kitendo Cha kuzalishwa mapema tena bila ndoa kimemletea baraka pamoja na akili za maisha na hivyo basi yeye ndio chaguo Bora kuliko hao mabinti.... Na bahati mbaya au nzuri kwao Kuna wanaume wengi sana washamba(nice guys) huwa wanajaa kwenye hii manipulation na hatimae wanawachagua hao damaged women huku wakiwaacha mabinti.

Halafu wakishaingia kwenye mahusiano rasimi/ndoa, vinaanza vikauli kama "mwanaume kujiamini, hautakiwi uishi kwa wasi wasi" hapo unakuta huyo damaged woman anamjenga kisaikolojia huyo nice guy kwamba hatakiwi kuhisi chochote kibaya kuhusu uhusiano wake na baba mtoto wake kwa hiyo hata siku akimuaga anampeleka mtoto wake kuonana na baby daddy wake na akalala huko huko basi huyo nice guy achukulie kawaida tu Kwan ndio uanaume huo.

Damaged/soiled women ni wanawake ambao wamesha master the art of manipulation, ni nadra sana nice guy kutoka kwenye mitego yao otherwise awe karibu na mtu wa kumpa ushauri sahihi
 
Nice guy, real man na gentleman ni tusi kubwa sana kupewa moja ya izo sifa na mwanamke
Real man, gentleman and nice guy are all gynocentric terms usually pulled out by women strategically to shame men and compel them to fullfil women's selfish needs without expecting anything in return.
 
Back
Top Bottom