Hahhaaa umetisha aiseeNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Hii ya radio call nimeipenda!...i never knew!Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Vipi kuhusi sisi tuliooa na bado tukakutana na jambo hilo!?Mkuu fanya mpango ufunge nae pingu za maisha
Yaweza ikawa anasikitika mnafanya jambo bila uhalali
Mwenyewe siku nikijaliwa mtoto sidhani kama nitaweza kulala mbali na mwanangu yani nilale chumba kingine yeye kingine afu ana miezi kadhaa hapanawanaume weng hawataki kbs kulala mbali na watoto wao!yaan arghh
But uyo ni mzazi mwenzie mkuu...Naomben mfaham, ngono nisuala la Roho.
Hujiulizi kwann mkeo akiwa namimba..wee mwanaume unaweza kua Dalala za mama mjamzito utadhan we ndo unamimba!???.
Ngono ni suala la Kiroho ,na mnavyokutana nawatu ovyo ovyo mjue mnaondoka an roho zao.
Dah....hiyo mionzi ya redio si mizuri kwa ukuaji wa ubongo was mtoto...[emoji41]Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Zinatengenezwa special za watotoDah....hiyo mionzi ya redio si mizuri kwa ukuaji wa ubongo was mtoto...[emoji41]
Risks to Baby's Brain Development From Cell Phone Radiation – RF (Radio Frequency) Safe
Kids sometimes cries when mother is abt to make love so as to prevent another babyKwakweli naudhika sana naombeni msaada bila hivyo naweza pitisha mwezi cjamlala mke wangu
What if km mtoto sio wake??But uyo ni mzazi mwenzie mkuu...
Huku mbali sana,kwa nn ujisumbue kiasi hiki!?? Mama akibeba mimba inachukua miezi 9 mpaka kujifungua. Ni muda mzuri sana wa kujipanga kuhakikisha haya hayatokei. Watanzania wengi hawajui kuwa mtoto tangu siku ya Kwanza anazaliwa anazaliwa na akili zake. Mtoto hata aliye tumboni akiwa amekamilika,yaani miezi 7 mpaka 9,kuna vitu anaweza kusikia vinavyoendelea Duniani na anaweza kukariri.Zinatengenezwa special za watoto
View attachment 875011
Hii ndo sababu kabisaaUnamkunja sn mama yake
HahahaaaaaMkuu fanya mpango ufunge nae pingu za maisha
Yaweza ikawa anasikitika mnafanya jambo bila uhalali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mwanao huyo
Dah...hiyo ni biashara tu...kama ilivyo soda.au sigara..lakini mawimbi ya umeme-sumaku (EM) kwa kiasi chochote ni hatari kwa binadamu...ni hatari zaidi kwa ubongo wa watoto....na watu wanaokupenda tu ndiyo watakueleza haya.[emoji41]Zinatengenezwa special za watoto
View attachment 875011
[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]hahahahah hata mm ilikuwa hvo hvooo inakeraaaaa!sijuihuwa ni nn!pole