Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

sina uwakika ila ilikua ina nitokea zamani, nilisikia kua ukiona hivyo mko kwenye hatari ya kupata mtoto mwingine. ila baadae hata acha mwenyewe tuh.embu jaribu kusoma nyakati
 
Hakuna atakae kulazimisha kuishi maisha yako lakin wazungu ndiyo waliyochapisha mitaala ya kutufundishia haya sisi hatujachapisha ya kwetu na wao waneitoa kufuatia evidence based researches
Kuna mazuri ya kuiga kuna mengine si sawa huwezi kuchukua kila kitu kama likondoo lisilojielewa
 
Kiroho anaona kinachofanywa, kimwili anajua kuna jambo linalotokea kwa wakati huo. Na hapa ninaimanisha vurugu zenu kwenye mapenzi pamoja na mnavyohema au kutoa sauti zingine ambazo hajazizoea! Ni kitu cha kawaida kuwa makini! Sasa ukizoea kumgegeda mama yake kwa muda fulani, muda huo unapofika kitakachofuata ni kwamba muda huo ukifika mtoto wenu ndio atakuwa anaamka kwanza kabla yenu!
 
amuingize kwa nyuma? hiyo hapana
 
Yaa hiii ni kweli itakua wanafanya dogstlye dats y mtoto anaamka
 
Naomben mfaham, ngono nisuala la Roho.

Hujiulizi kwann mkeo akiwa namimba..wee mwanaume unaweza kua Dalala za mama mjamzito utadhan we ndo unamimba!???.

Ngono ni suala la Kiroho ,na mnavyokutana nawatu ovyo ovyo mjue mnaondoka an roho zao.
Ohooooo!!!
 
Una ngoma mtoto anaoteshwa unamuua mama ake .Please nenda kapime .I put one hundred percent in every word that I have written
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…