Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

sina uwakika ila ilikua ina nitokea zamani, nilisikia kua ukiona hivyo mko kwenye hatari ya kupata mtoto mwingine. ila baadae hata acha mwenyewe tuh.embu jaribu kusoma nyakati
 
Hakuna atakae kulazimisha kuishi maisha yako lakin wazungu ndiyo waliyochapisha mitaala ya kutufundishia haya sisi hatujachapisha ya kwetu na wao waneitoa kufuatia evidence based researches
Kuna mazuri ya kuiga kuna mengine si sawa huwezi kuchukua kila kitu kama likondoo lisilojielewa
 
Kiroho anaona kinachofanywa, kimwili anajua kuna jambo linalotokea kwa wakati huo. Na hapa ninaimanisha vurugu zenu kwenye mapenzi pamoja na mnavyohema au kutoa sauti zingine ambazo hajazizoea! Ni kitu cha kawaida kuwa makini! Sasa ukizoea kumgegeda mama yake kwa muda fulani, muda huo unapofika kitakachofuata ni kwamba muda huo ukifika mtoto wenu ndio atakuwa anaamka kwanza kabla yenu!
 
Mkuu kuna style inabd mkae ili msimdisturb mtt (mnalala zen we unamuingizia kwa nyuma ) au hameni location fanyieni sebuleni au kama sebule hamna bas fanyieni chini sasa we unataka umfanye style ya doggy apo lazma mtt aamke....pia muwe na utulivu wife asilie sana lol.....kimyakimya mnamaliza mnalala....[emoji725]
amuingize kwa nyuma? hiyo hapana
 
Mkuu kuna style inabd mkae ili msimdisturb mtt (mnalala zen we unamuingizia kwa nyuma ) au hameni location fanyieni sebuleni au kama sebule hamna bas fanyieni chini sasa we unataka umfanye style ya doggy apo lazma mtt aamke....pia muwe na utulivu wife asilie sana lol.....kimyakimya mnamaliza mnalala....[emoji725]
Yaa hiii ni kweli itakua wanafanya dogstlye dats y mtoto anaamka
 
Naomben mfaham, ngono nisuala la Roho.

Hujiulizi kwann mkeo akiwa namimba..wee mwanaume unaweza kua Dalala za mama mjamzito utadhan we ndo unamimba!???.

Ngono ni suala la Kiroho ,na mnavyokutana nawatu ovyo ovyo mjue mnaondoka an roho zao.
Ohooooo!!!
 
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Una ngoma mtoto anaoteshwa unamuua mama ake .Please nenda kapime .I put one hundred percent in every word that I have written
 
Back
Top Bottom