Kinachosababisha aamke ni harufu ya maziwa,Harufu ya maziwa inafanana na harufu ya maji maji yanayopatikana katika mtumbo la uzazi, so mtoto anapozaliwa anakua amezoea hiyo harufu kiasi kwamba anaweza akawa amelala usiku upande mwingine wa kitanda ila akatafuta ziwa la mamake na akanyonya Hii inahusikaje na tatizo lako, Unapokuwa una mnaniliu mkeo huwa anasisimka maeneo ya maziwa, hii hupelekea kutoka ute ama maziwa kwenye chuchu ambapo harufu yake inamuamsha mtoto haswa nyakati za usiku kipindi ambacho watoto wengi huwa na njaa.. Natumia freebasics so kama kuna typing errors natanguliza samahani...