Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Habari za muda huu wana JF.

Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.

Hii hali imekuwa inanishangaza sana.

Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.

So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?
 
Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.

Shetani na yeye ananguvu.
 
Yawezekana wewe siyo binadamu...ila ni Jini...
 
Habari za muda huu wana JF.
Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.
Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.
So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?
Kuna nguvu ya giza inafanya kazi ndani yako ambayo huitambui. Kama ulivyoshauriwa nenda kaombewe. Unajua kuna uchawi macho??
 
Habari za muda huu wana JF.

Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.

Hii hali imekuwa inanishangaza sana.

Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.

So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?
Fungua kanisa utapiga hela
 
Una dalili zote tosheleza za kuwa Jini!!!!
 
Back
Top Bottom