Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
nakuona tu ulivyo na roho ya husdaDuh..ningekuwa kama wewe ningefurahi sana, kuna mtu angejikwaa kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuona tu ulivyo na roho ya husdaDuh..ningekuwa kama wewe ningefurahi sana, kuna mtu angejikwaa kila siku
Tena navizia akiwa hanioni..namtazama kwa kumchungulia anajikwaa mara puuu chini😂😂😂 rahaaaanakuona tu ulivyo na roho ya husda
jomba popoma kumbe na wewe unachangiaaga mada za wengine
Habari za muda huu wana JF.
Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.
Hii hali imekuwa inanishangaza sana.
Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.
So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?
Kuna maza mmoja Yuko hivyo,,, na ni ana roho mbay balaaWatu wengi utumika kichawi kupitia kauli zao, macho nk japo wao sio wachawi. Kuna mtu akishika kitu lazima kiharibike, ukimshirikisha jambo halifanikiwi
Kaa naye vizuri huyo ana chembe chembe za uchawi...Kuna maza mmoja Yuko hivyo,,, na ni ana roho mbay balaa