Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

Habari za muda huu wana JF.

Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.

Hii hali imekuwa inanishangaza sana.

Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.

So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?
Una asili ya kichawi na kishirikina na roho mbaya.😂😂😂
 
Back
Top Bottom