Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

An
Wala sitaki kubishana kuhusu umri labda tubishane kuhusu kuwa bussy ktk social networks ndio unaweza kunizidi.
Sijamaanisha kuwa wewe ni mtoto kwa maana ya umri wako bali wewe ni mtoto kwa maana ya uelewa mdogo wa masuala mbalimbali!
 
Kuna hata baadhi ya wanawake hawajui yanatoka wapi
 
Majibu sahihi bado hayajatolewa kwa muhusikia naona anasimangwa tu!!!!!
 
Alafu kumbe una uza mechi kijana(unapiga peku),,,unaroho ngumu sana
 
Kama ukiona mpenzi wako anatoa ujiuji fulan hivi unaozunguka uume wako ni kuwa mpenzi wako anahisia nyingi sana za kimapenzi kwako lakini pia anakuwa hajafanya mapenzi kwa muda mrefu kidgo.

Kama mwanamke ammesex siku hiyohiyo na akakutana na mwanaume mwingine basi hutoa majimaji ya kawadia sana na sio huo ujiuji.

Hivyo kwa uelewa wangu nikimuona mwanamke wa namna hio huwa ni kigezo cha kunipenda na kuwa mwaminifu kwangu.


Wapo wale sex-monger wanapend kutiana muda wote na wanahisia na mtu yeyote wanaweza pia kutoa uji huo hata kuda wwte hivyo sio guarantee ya uaminifu kwa kila mtu.japo iko hivyo kwa walio wengi.
 
Mkuu wewe si ki.laza wala mtoto kama watu wanavyokukejeli. Kuuliza si ujinga hasa kwa kitu usichokifahamu.

Huyo mpenzi wako yuko sawa, afya yake iko vizuri kabisa, si jambo la kuhofia. Kutokwa kwa hayo maji maji meupe ni suala linaloelezeka kibaolojia.

Hayo maji mazito meupe yanaitwa 'virginal discharge'. Mara nyingi hutokea pale mwanamke anaposisimka wakati wa tendo hasa kipindi ambacho yupo katika 'ovulation'. Haya maji maji meupe mazito hutofautiana kulingana na stage ya ovulation aliyopo, umri, homoni za kike, pamoja na kiwango cha msisimuko. Hayo maji maji pia yanaweza kua na harufu ya uke hasa akiwa stage ya mwisho ya ovulation na rangi ikawa kama cream hivi.

Pia maji hayo yanaweza kutokana na 'single/multiple orgasm' tofauti na sisi wanaume tunaotema 'sumu kali kama koboko' wenzetu wa kike akiwa ktk orgasm mishipa ya 'uterus - mfuko wa uzazi' na mishipa ya uke inapanuka damu ipite hadi eneo la pelvis apaka kwenye 'clitoris', katika hiyo process maji maji hutoka kwenye uke pamoja na makamasi kutoka kwenye tezi 'gland'.

Wala usiwe na tabu. We kula mzigo baba tena ******** keshasema fyatua hata watoto 10. Na huku mjini vijana walivyo 'mcharo' wanapiga deki hayo maji bila hofu - ndo raha ya mapenzi.
Naipenda jf
 
Nawashukuru sana kwa majibu yenu mazuri na mitazamo tofauti ktk uchangiaji pia nimegundua yakuwa kuna wengine hukoment pumber ili wapate like!
Wataalamu nimepokea ushauri wenu, matahira mnaocomment pumba nimewaelewa uwezo wenu wa akili!.
Thanks all for the love.
Kwa title yako hapo juu,huyo mwanamke ana ugonjwa unaoitwa vaginal candidiasis yaani yeast au fungus wameota ukeni dalili zake ni mabonge kama maziwa yaliyoganda.

Mwanamke huyo aende hospital apate vipimo na tiba sahihi na wewe pia maana katika program ya tiba ya magonjwa ya ngono na mwenza hupata tiba.
 
Aaaa anaomba ushaur jaman na hayo sio maji tuachie madoctor tumjib.naanza ukiona hivyo ujue unamfikish kilelen hahahaaaa
 
Back
Top Bottom