Ngixolele Umoya
Senior Member
- Mar 26, 2017
- 108
- 142
Hi, karibu coffeesawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi, karibu coffeesawa mkuu
Wala sitaki kubishana kuhusu umri labda tubishane kuhusu kuwa bussy ktk social networks ndio unaweza kunizidi.[emoji115]Wewe ndo mtoto mkuu,believe me!!...... Wala sikukebehi!
Mapenzi yanaumiza sana.Acha zinaa! Kwani vitabu vibasema hakika zinaa ni uchafu.....
Bora wewe coz naona wengi wanakejeli tu badala ya kumsaidia MTU wengi humu hujifanya wajuaji Lakini Bashite ktk hizi AngaMkuu wewe si ki.laza wala mtoto kama watu wanavyokukejeli. Kuuliza si ujinga hasa kwa kitu usichokifahamu.
Huyo mpenzi wako yuko sawa, afya yake iko vizuri kabisa, si jambo la kuhofia. Kutokwa kwa hayo maji maji meupe ni suala linaloelezeka kibaolojia.
Hayo maji mazito meupe yanaitwa 'virginal discharge'. Mara nyingi hutokea pale mwanamke anaposisimka wakati wa tendo hasa kipindi ambacho yupo katika 'ovulation'. Haya maji maji meupe mazito hutofautiana kulingana na stage ya ovulation aliyopo, umri, homoni za kike, pamoja na kiwango cha msisimuko. Hayo maji maji pia yanaweza kua na harufu ya uke hasa akiwa stage ya mwisho ya ovulation na rangi ikawa kama cream hivi.
Pia maji hayo yanaweza kutokana na 'single/multiple orgasm' tofauti na sisi wanaume tunaotema 'sumu kali kama koboko' wenzetu wa kike akiwa ktk orgasm mishipa ya 'uterus - mfuko wa uzazi' na mishipa ya uke inapanuka damu ipite hadi eneo la pelvis apaka kwenye 'clitoris', katika hiyo process maji maji hutoka kwenye uke pamoja na makamasi kutoka kwenye tezi 'gland'.
Wala usiwe na tabu. We kula mzigo baba tena ******** keshasema fyatua hata watoto 10. Na huku mjini vijana walivyo 'mcharo' wanapiga deki hayo maji bila hofu - ndo raha ya mapenzi.
Inatoaga povu na kudondosha maji maji.. Halafu hayo maji maji yana harufu ya dawa... Mmmmh!Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje
Vaivaa iti ebigha kila cha vaghenji....hangi akivwukia cheheyavo.Mkuu, mbona huu uzi umekupanikisha? Huwa naona hupaniki kirahisi, lakini leo.....[emoji125]
pamoja mkuu,karibu.N
Hayo ndiyo majibu niliyokuwa nayataka kutoka kwa wataalamu!
Thanks very much.
Asante mtani nimeona,ila sijajua kinachokukimbiza...embu simama unisimulie..
😵yani naomba ukue kwanza ndiyo uanze kusex
Siwezi kusimulia, kwa issues kama hizi huwa natenda tu.Asante mtani nimeona,ila sijajua kinachokukimbiza...embu simama unisimulie..
Hahaha, ngoja akuthikie mtani.Vaivaa iti ebigha kila cha vaghenji....hangi akivwukia cheheyavo.
Si muache nani anawatuma muingie na kutupekenyuaaa jamaniiiha haaa haaaaa sio vizuri lakini kutuachia hayo madude wenzenu
Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje
Nawashukuru sana kwa majibu yenu mazuri na mitazamo tofauti ktk uchangiaji pia nimegundua yakuwa kuna wengine hukoment pumber ili wapate like!
Wataalamu nimepokea ushauri wenu, matahira mnaocomment pumba nimewaelewa uwezo wenu wa akili!.
Thanks all for the love.
yani naomba ukue kwanza ndiyo uanze kusex
Jibu mubashara kabisa
Haya Wanaume njooni muufunde Mvulana huku kaparamia vya wakubwa.
[emoji3]Wewe inabidi ukasome kozi ya Kumalogy.
Mimi siyajui naomba nije unionyesheSi muache nani anawatuma muingie na kutupekenyuaaa jamaniii
Naona kwenye avatar yako umeweka K[emoji3]