Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sijamaanisha kuwa wewe ni mtoto kwa maana ya umri wako bali wewe ni mtoto kwa maana ya uelewa mdogo wa masuala mbalimbali!An
Wala sitaki kubishana kuhusu umri labda tubishane kuhusu kuwa bussy ktk social networks ndio unaweza kunizidi.
Acha tu nicheke!!! Mkuda ee maana we cha mtoto qui qui quuuuuiiiiii mbv zangueeeAcha kujifanya mkuda wewe
NgosokereNadhan kakua kwani ndiye aliyeanza kuwafukuza watoto.
Jamani sio vizuri kumsema Mtoto!tatizo ma mihili yao ya chipsi mayai wanaonekana wakubwa kumbe akili ni ndogo
Weka pichabasi usifanye sex....... mbona nyie mnatokojolea ?
Nafikiri kuwe na mpaka na hzi mada,akili zao ndogo kwenda kufanya ya wakubwa,waiteni jando hawa watoto wapuuziajamaliza balehe bado ananuka maziwa ya mama
Sawa mkuuNafikiri kuwe na mpaka na hzi mada,akili zao ndogo kwenda kufanya ya wakubwa,waiteni jando hawa watoto wapuuzi
Naipenda jfMkuu wewe si ki.laza wala mtoto kama watu wanavyokukejeli. Kuuliza si ujinga hasa kwa kitu usichokifahamu.
Huyo mpenzi wako yuko sawa, afya yake iko vizuri kabisa, si jambo la kuhofia. Kutokwa kwa hayo maji maji meupe ni suala linaloelezeka kibaolojia.
Hayo maji mazito meupe yanaitwa 'virginal discharge'. Mara nyingi hutokea pale mwanamke anaposisimka wakati wa tendo hasa kipindi ambacho yupo katika 'ovulation'. Haya maji maji meupe mazito hutofautiana kulingana na stage ya ovulation aliyopo, umri, homoni za kike, pamoja na kiwango cha msisimuko. Hayo maji maji pia yanaweza kua na harufu ya uke hasa akiwa stage ya mwisho ya ovulation na rangi ikawa kama cream hivi.
Pia maji hayo yanaweza kutokana na 'single/multiple orgasm' tofauti na sisi wanaume tunaotema 'sumu kali kama koboko' wenzetu wa kike akiwa ktk orgasm mishipa ya 'uterus - mfuko wa uzazi' na mishipa ya uke inapanuka damu ipite hadi eneo la pelvis apaka kwenye 'clitoris', katika hiyo process maji maji hutoka kwenye uke pamoja na makamasi kutoka kwenye tezi 'gland'.
Wala usiwe na tabu. We kula mzigo baba tena ******** keshasema fyatua hata watoto 10. Na huku mjini vijana walivyo 'mcharo' wanapiga deki hayo maji bila hofu - ndo raha ya mapenzi.
Kwa title yako hapo juu,huyo mwanamke ana ugonjwa unaoitwa vaginal candidiasis yaani yeast au fungus wameota ukeni dalili zake ni mabonge kama maziwa yaliyoganda.Nawashukuru sana kwa majibu yenu mazuri na mitazamo tofauti ktk uchangiaji pia nimegundua yakuwa kuna wengine hukoment pumber ili wapate like!
Wataalamu nimepokea ushauri wenu, matahira mnaocomment pumba nimewaelewa uwezo wenu wa akili!.
Thanks all for the love.
Wameniambia ameshakimbia huko miaka nenda rudi wanamuona kwenye tv na kumsikia kwenye radio japo sikuhizi wanadai amekuwa kimya sanaUkifika huko mtafute jamaa mmoja hivi anaitwa bashite msalimie sana,