Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Ukifika huko mtafute jamaa mmoja hivi anaitwa bashite msalimie sana,Napita zangu naelekea koromije
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika huko mtafute jamaa mmoja hivi anaitwa bashite msalimie sana,Napita zangu naelekea koromije
Umejibu vyemayani naomba ukue kwanza ndiyo uanze kusex
Miss chagga atakuwa anatoa yale madude meupe maana sio kwa povu hilindiyo maana nimesema si wote ni fungus uwe unaelewa basi..
jamani me siwezi kujisemea ila pia si vyema kugeneralise wote kuwa ni fungusMiss chagga atakuwa anatoa yale madude meupe maana sio kwa povu hili
Onhoooha haha bado anafanya utafiti ,, huyu ndiyo wakifika gesti anamwambia demu lala hapo kitandani vua nguo na chupi jipanue anaiangalia weweeee huku anaaikagua kama anasoma ramani anatafuta chile ipo wapi ? h ahahha akue kwanza
Nimeamini akili zetu zipo tofauti.Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje
Hapana yeye mwenyewe bado mtoto.utamu wa pipi mate.Nadhan kakua kwani ndiye aliyeanza kuwafukuza watoto.
Umeanza mapema hayo mamboHabari za wakati wakati huu wakubwa wenzangu!
Kama kuna mtoto humu naomba anipishe niyatoe ya moyoni huwenda nikanusurika au kufaidika kutoka kwa wataalamu mana sehemu nyingine tuwaachie wataalamu!
Ebhana nimekuwa nikisex na watu tofauti tofauti rika, hadhi na rangi tofauti tofauti ila nimekuwa nikistaajabu kwani wengi ninaowapiga pipe ile kisawasawa huwa nikilichomoa guu langu la tatu naona kama kuna weupe umenizingira nimeshawahi kuhisi huwenda itakuwa na madhara kwangu nikaenda kucheki hospitali but invain sikuona kitu!.
Mara nyingine sipati kuamini yakuwa ni bao lao kwani najua lao sio zito kiasi cha kung'ang'ania kobole langu pia najiuliza au ni ukubwa wa hili bastola au ni magonjwa ya hao wanawake au ni kawaida kwa kila binadau sipati picha!
Kwa umri na heshima yangu nmeshindwa kuomba msaada kokote but ninaamini Jf tuna wataalamu wengi naomba wanisaidie "ule ute mweupe unaoonekana ktk dick during sex ni nini?.
umemaliza mkuu safi sana. wengine humu wanajifanya kumdharau mtoa post kumbe hawana jibu. kama wanajiona wamezeeka si wajitoe social networks kuliko kushare comments na watoto waoMkuu wewe si ki.laza wala mtoto kama watu wanavyokukejeli. Kuuliza si ujinga hasa kwa kitu usichokifahamu.
Huyo mpenzi wako yuko sawa, afya yake iko vizuri kabisa, si jambo la kuhofia. Kutokwa kwa hayo maji maji meupe ni suala linaloelezeka kibaolojia.
Hayo maji mazito meupe yanaitwa 'virginal discharge'. Mara nyingi hutokea pale mwanamke anaposisimka wakati wa tendo hasa kipindi ambacho yupo katika 'ovulation'. Haya maji maji meupe mazito hutofautiana kulingana na stage ya ovulation aliyopo, umri, homoni za kike, pamoja na kiwango cha msisimuko. Hayo maji maji pia yanaweza kua na harufu ya uke hasa akiwa stage ya mwisho ya ovulation na rangi ikawa kama cream hivi.
Pia maji hayo yanaweza kutokana na 'single/multiple orgasm' tofauti na sisi wanaume tunaotema 'sumu kali kama koboko' wenzetu wa kike akiwa ktk orgasm mishipa ya 'uterus - mfuko wa uzazi' na mishipa ya uke inapanuka damu ipite hadi eneo la pelvis apaka kwenye 'clitoris', katika hiyo process maji maji hutoka kwenye uke pamoja na makamasi kutoka kwenye tezi 'gland'.
Wala usiwe na tabu. We kula mzigo baba tena ******** keshasema fyatua hata watoto 10. Na huku mjini vijana walivyo 'mcharo' wanapiga deki hayo maji bila hofu - ndo raha ya mapenzi.
By the way hata yeye mwenyewe amesema alienda hadi hospital na akaambiwa hana ugonjwa, ingekuwa fangus hospital wangemuambia.. so ni kweli akue kwanza kiakili..ndiyo maana nimesema si wote ni fungus uwe unaelewa basi..
Habari za wakati wakati huu wakubwa wenzangu!
Kama kuna mtoto humu naomba anipishe niyatoe ya moyoni huwenda nikanusurika au kufaidika kutoka kwa wataalamu mana sehemu nyingine tuwaachie wataalamu!
Ebhana nimekuwa nikisex na watu tofauti tofauti rika, hadhi na rangi tofauti tofauti ila nimekuwa nikistaajabu kwani wengi ninaowapiga pipe ile kisawasawa huwa nikilichomoa guu langu la tatu naona kama kuna weupe umenizingira nimeshawahi kuhisi huwenda itakuwa na madhara kwangu nikaenda kucheki hospitali but invain sikuona kitu!.
Mara nyingine sipati kuamini yakuwa ni bao lao kwani najua lao sio zito kiasi cha kung'ang'ania kobole langu pia najiuliza au ni ukubwa wa hili bastola au ni magonjwa ya hao wanawake au ni kawaida kwa kila binadau sipati picha!
Kwa umri na heshima yangu nmeshindwa kuomba msaada kokote but ninaamini Jf tuna wataalamu wengi naomba wanisaidie "ule ute mweupe unaoonekana ktk dick during sex ni nini?.
Hapana. Iyo ni infection. Tena wanawake wanaotoa ayo madudu 80 % wana gono.Hizo ni shahawa za kike!, ukimpiga pipe sawasawa ukaona hayo mambo jua naye huko kamaliza