Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

Huu sio ustaarabu hata kidogo.
Mtu kaomba kujua. Kama unajua mfahamishe;
Kama hujui subiri na wewe ili ujifunze.

Kumshambulia mtu kwa kukiri kutokujua kwake hakukufanyi wewe ni bora zaidi yake.

Socrates aliwahi kusema
"I am the WISEST person on earth because i know NOTHING"
 
ha haha bado anafanya utafiti ,, huyu ndiyo wakifika gesti anamwambia demu lala hapo kitandani vua nguo na chupi jipanue anaiangalia weweeee huku anaaikagua kama anasoma ramani anatafuta chile ipo wapi ? h ahahha akue kwanza
Onhooo
 
Tatizo unafanya mambo ya wakubwa wakati bado mtoto.
Hayo madude meupe tuachie sisi wakubwa.
 
Yanakuwa meupe kama lotion flani hivi hii mimi huwa naiona kwa demu wangu mmoja hivi nikimpiga paipu kisawasawa lazima hiyo makitu itoke. Ngoja tusubiri wataaalam waje
Nimeamini akili zetu zipo tofauti.
 
Umeanza mapema hayo mambo
Huyo mwanamke ni Mchafu asili ya uke ni uchafu ndio maana wanawake wanaojielewa Maji ni Rafiki yao mkubwa ...sasa sijui umemkuta wapi mtoto mwenzio
 
nimekuwa nikisex na watu tofauti tofauti rika, hadhi na rangi tofauti tofauti........





Wewe umetembea na mwanamke mmoja tu kakutoa bikra, Ningekuwa dokta umekuja hospital ungekula makofi
 
umemaliza mkuu safi sana. wengine humu wanajifanya kumdharau mtoa post kumbe hawana jibu. kama wanajiona wamezeeka si wajitoe social networks kuliko kushare comments na watoto wao
 
Huo ndiyo UTAMU wenyewe acha woga.

 
Hayo ndio mautamu yenyewe ni nadra sana kutokeza hadharani na kuonekana huwa yamejificha huko mbali kabisa ...unabahati sana kuyashuhudia kwa macho yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…