Kwanini niliamua kuwa raster man[why do i choose to be raster man]

Kwenye jibu lako la swali la pili kuna swali jingine, ikiwa Mungu huyu uliyemtaja (God) wa kwenye Bibilia ndiye aliyeumba pepo kwa wamchao na jehanamu kwa waliomuasi. Je, Mungu (Jah) unayemzungumzia ndiye huyo huyo aliyeumba pepo na jehanamu?
ndo huyo huyo....mkuu Mungu anamajina mengi,hata kilugha chako anajina lake.tatizo hapa ni jinsi ya imani shirikishi ila wote tunamuamini Mungu wa universal ambae aliumba pepo na jehanamu na ndo maana utaona kitabu chetu ni bibilia Angano lakale. Umenipata uzuri
 
"Jah Live" lyrics

Bob Marley Lyrics
Play the Bob Marley Quiz
on Melody Facts
"Jah Live"

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah

The truth is an offense but not a sin!
Is he who laugh last, children! is he who win
Is a foolish dog bark at a flying bird!
One sheep must learn, children! to respect the sheperd!

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live! children yeah, Jah!

Fools sayin' in their heart
Rasta your God is dead
But I and I know Jah! Jah!
Dreaded it shall be dreaded and dread

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live! children yeah

Let Jah a-rise!
Now that the enemies are scattered
Let Jah a-rise!
The enemies, the enemies are scattered

Jah live! children yeah!
Jah-Jah live! children yeah
Jah live! children yeah
Jah-Jah live!

JIBU LAKO NA SINDIKIZA NA HICHI KIBAO CARLA
 
Mbona kama wew una asili ya rangi nyeupe I mean sio black vp hapo?
 
How you over come the issue of sacrament to your faith,it seems you go against the laws of the nation, the government try to ban it, but you violate it,?How is it come ?
 
Mbona kama wew una asili ya rangi nyeupe I mean sio black vp hapo?
Mkuu mi ni black mzee baba, usiadaike na rangi tu.inawezekana wazee walichanganya ila unaangalia uwalisia wapi,hata most ya slave trade walio kuja kutokana na back to africa movement wengine walikuja na mimba wakazaa, watoto machotara kama mfano bob marley +bi kadelaboka niweusi ila angalia watoto kama kina ziggy, damian so usi judge kwa colour of skin brother
 
Vp now kurudi machimbon hujafikiria?
 
Evonik najua ni agaist the low of the nation, ila ni feeling za Babylonian system tu,wanaogopa kuwa mtu atakuwa na reasoning capacity kubwa na IQ yako kuongeza? GANJA is herb why burn it. we steal fighting for it to be legalize so that Rastafarian tuwe na special zone ya ku sniff/paff it.
 
Wazungu wanawapenda marasta kwa sababu ya uaminifu wao na kutokuwa na tamaa za kijinga
 
Mi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
 
Mi navutiwa sana na jamii ya kirasta but wananiudhi tu pale wanapo sema Haile Selassie ni nabii ni kama yesu tu! Na wakati kwenye bible ambayo wao wanaitumia hakuna kitu kama hicho.
mkuu imani nipana sanaa....wewe unamuamini yesu, vipi kwa wanao muamini muhamad.....imani nipana sana, na siku zote tunakwambia matendo memaa ndo uchamungu
 
mkuu imani nipana sanaa....wewe unamuamini yesu, vipi kwa wanao muamini muhamad.....imani nipana sana, na siku zote tunakwambia matendo memaa ndo uchamungu
Mkuu Bob Marley kabla hajafa alibatizwa nakuirudia imani yake ya awali ya kikristo! Imani ya kirasta ni nzuri lakini kunasehemu wana kufuru kabisa yaani wameenda mbali zaidi ya imani yenyewe.
 
Rasta wanadai Haile Selassie ametoka kwenye uzao wa Suleiman kupitia kwa malkia wa sheba! Hivi kweli zaidi ya miaka elfu 3 huo uzao unaweza kujulikana? Haile Selassie ametokea juzi kwenye karne ya kumi na tisa.
 
Culture ya kirasta ina reflect amani, the world is better off without it
 
Nilisoma na jamaa chuo, kwenye mitihani yote ni lazima apate jani kabla ya kuingia chumba cha mtihani ili aweze kufanya vizuri kwenye mtihani husika.

 
Rasta wanadai Haile Selassie ametoka kwenye uzao wa Suleiman kupitia kwa malkia wa sheba! Hivi kweli zaidi ya miaka elfu 3 huo uzao unaweza kujulikana? Haile Selassie ametokea juzi kwenye karne ya kumi na tisa.
mkuu go through bibilia angalia hilo chimbuko la salassie
 
mkuu urasta na mzungu tena...sisi tunapigania back to African movement bana
Forward to Africa kaka siyo back to Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…