Kwanini nilisema kama ukiwa na fomula hii utaishia kuteseka kiuchumi?

Kuna vitu ambavyo tunadanganyana hpa na kupeana moyo lkn tukae tukijua maisha hayapo ivo .....msingi mkuu wa maisha ya binsdam kwa sasa ni hela hili wote tunalijua hta km tunajifanya hatulijui nashangazwa na watu wanaobeza suala la kuwa na hela za kutosha kuwa na gari na nyumba ni sawa mi ckatai lkn hebu tujiulize hivyo nyumba na gari vinatuhakikishia kuwa na maisha bora ??? Jibu ni cyo kinachotuhakikishia kuwa na maisha bora ni hela sasa inakuwaje unabeza hela??? Suala la kufanya biashara haliepukiki labda km umekubali kuwa na maisha ya kulia shida kila cku na biashara ninatoizungumzia hpa cyo laxima direct km ya kufungua duka unaweza kufanya indirect km kununua hisa au vipande
 
Nkobe kama una chuki na wenye magari vaa miwani usione gere bongo si kama mbele kanzu tobo kama pele wajukuu wa nyerere chuki zako ni bure atown hatuna kwere bechi unasugulia hauna career tunawakimbiza husein bolt -#viburi flow
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa yangu ni mtumishi wa umma yupo Songea, alijenga nyumba Songea,mbele ya nyumba akajenga mabanda akafungua mashine ya kusaga unga na mashine ya kukamua mafuta ya alizeti,nyuma ya nyumba yake kajenga mabanda anafuga kuku wa nyama na mayai na pia anafuga ngombe wa maziwa ,pia amenunua pickup kwa ajiri ya kumsaidia shughuli zake za mashine na mifugo yake,maisha yanamwendea vizuri na siku si nyingi anategemea kufungua viwanda vidogo vya unga na mafuta na anategemea kuachana na kuajiriwa.

Ninachotaka kukuambia ili ufanikiwe hakuna njia moja,unaweza ukajenga nyumba ukaitumia nyumba hiyohiyo kwa ajiri ya shughuli zako za kujiongezea kipato,vilevile unaweza kununua gari likarahisisha shughuli zako za kiuchumi.
 
Nkobe kama una chuki na wenye magari vaa miwani usione gere bongo si kama mbele kanzu tobo kama pele wajukuu wa nyerere chuki zako ni bure atown hatuna kwere bechi unasugulia hauna career tunawakimbiza husein bolt -#viburi flow

Hii kali ya mwaka, niwe na wivu kwa watu nisiowajua. Mbona tayari ninayo lakini ni lori
 

Mkuu hata mimi namaanisha hicho, huyo jamaa ni strategic, hiyo numba kajenga kwa malengo
 
no formula uanze na gari biz au nyumba yote sawa

Formula ya maisha ipo ndugu, ndiyo maana huwa tunaanza na elimu then kutafuta pesa kunafuata. Kufanikiwa bila kujua hata kusoma A ni nadra sana. Pia ndio maana kuna somo la maarifa ya jamii, hiki nilichokiandika ni maarifa ya jamii pia
 
Si kweli ndugu yangu,kwetu hapa TZ,kila mtu mtu anataka kuwa na fantassy na pia tuko x ted na material things mno,thats why rushwa haziishi,let say umeenda customs,ofisa wa customs atakuona una simu samsung note 3,ataanza kui admire ,na kukuuliza maswali kuh bei,kesho ukioanana naye anakuuliza unadownload vipi whattapp kesha nunua ya kwake,pia watz demo life imetutawala mno.
 

mkuu maneno yako niya kweli kabisa watanzania wengi yani akifumania kihela kidogo anawaza kujenga. hawazi mbinu ya kuifanya pesa aliyoipata ijizalishe. 2badilike aisee tusiwe waogo kufanya maamuzi magum
 
Mleta mada kwnz naomba nikupongeze kw mawazo chanja.kiukweli huo ni ukwl usopingika na cna shaka na kabila la mleta mada.hope ni wa kule kule.nna mfano hai wkt nipo kwny seminar flan tulipew fursa ya kuchangia na watu kutoa maoni.aisee ukabila achilia mbali elimu nilikuw shuhuda kuna watu hawana mawazo ya kuinvest kbsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. .......wanajificha kwny risks na kuhoj sn lik wht if dz wil fall or stonen....yaaan a lot of qns ambazo zinamnock out mjasiriamali.guys among the greatest character dat counts kw mjacriamali ni kuwa risk taker.if u fail thr thr z no wea u kn reach.
 

Alijenga nyumba kwaajili ya biashara na sio kuishi.
 

Mkuu nikweli hajakuelewa jamaa.
Hapa ime base zaidi kwa wale wenye kutafuta pesa kwa Jasho lao,haya mambo ya pesa za kupiga dili na za urithi zinataratibu zake.
 

Mawazo yako uliyo changia ni mazuri..ila next time usituandkie ki-face book, sawa?
 

Mkuu una point nzuri ila uandishi wako sasa... Unahitaji utumie nguvu nyingi sana kuelewa!!!
 
The difference between the rich and the poor is the rich buys assets ans the poor buys liabilties thinking they are assets...
 
Sina cha kuongeza ila naipenda jf kwa mijadala ya wazi na siri. Najifunza mengi humu
 
Mtoa mada you need to do your homework kabla hujapost chochote humu. Unajua kama nyumba Ina appreciate value by 30% per annum? Imagine ukiwa na Nyumba ya 50m Leo, after 1year itakuwa na value ya 65m, na baada ya 5yrs itakuwa na 125m value. Hiyo ni bila kuangalia pesaunayookoa kwenye kulipa kodi ya Nyumba.

Je unajua gharama za ujenzi zinapanda kwa kasi ya ajabu? Bei za vifaa vya ujenzi mwezi huu ni tofauti sana na mwezi ujao. Nilinunua cement mwezi January kwa 13500 kwa mfuko, sasa hivi bei ni 15000. Nyumba utakayojenga kwa 50m mwaka huu, ukiijenga mwakani utatumia like 70m.

Watu waliowekeza kwenye ardhi na nyumba have the most secured investment interms of value appreciation. Nakushauri jenga Leo usisubiri kesho
 
Hivi mleta uzi umeshawahi kufikiria gharama za kutokua na gari?.Uchambuzi wako umeelemea upande mmoja.
 
Another assumption hapa ni kwamba unaish wewe tu. Hakuna cha ndugu wala emergency in your life. Una-assume every other thing is fixed.
Nalipa kodi laki 4, natumia mafuta laki 3 kwa mwezi.
Other things being equal nikihamia kwangu silipi kodi tena na natumia laki 3 na nusu.
Nikiisha hamia kwangu naweza kurisk kuwekeza kwenye miradi coz ikitokea ikakwama ntakuwa kwangu so siwazi kodi ya mwenye nyumba tena. Zikienda fresh yote heri.
Nakuhakikishie tu kwamba, kama public transport ingekuwa bora ndani ya jiji hili then wengi tusingeingia gharama ya kununua hizo vits.
Plan B ingekuwa boda boda lakini unajua jinsi zinavyotumaliza.
For convenience unalazimika kutafuta usafiri wako.
Niliwahi kupanga sinza, maji yalikuwa yanaingia ndani, af ikawa n ugomvi kila siku na mwenye nyumba. Nani anapenda hizo pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…