MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake
2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini
3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani
4. Ana Utoto mwingi
5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu
6. Anajiamini sana mpaka kujisahau
7. Ana Ushamba ambao haujifichi
Nina uhakika kwa Ball Control yake angeweka Umakini na Kutulia ile Penati angeipata ila aliikosa kwakuwa alikuwa anataka Kupiga Penati ya aina yake ( ya Kumsidi Shomary Kapombe ) ili ikiingia aanze Kujitapa na kujiona ndiyo kila Kitu Simba SC wakati kumbe Simba SC imepita Wachezaji wengi wazuri Kumzidi na wala hawana Shobo na Makuu ya kujiona Mungu Mtu kama Yeye.
Nilishawahi hapa hapa JamiiForums ( huko nyuma ) Kutahadharisha kuwa Mkongo huyu ( Henock Inonga Baka ) ni mzuri na ana Kipaji Kikubwa sana ila arekebishwe hasa kuachana na Ego yake iliyovuka mipaka na ambayo ndiyo imemgharimu leo na asipoangalia hata Jumamosi ijayo tarehe 30 April, 2022 kwa Mkapa akikutana na Fiston MINOCYCLINE Mayele itamgharimu pakubwa na ataiponza Timu, itafungwa huku Mitetemo ikiendelea tu.
Upuuzi huu Ulimgharimu pia Mukoko.