Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Wangekuwa kweli wamemuona wasinge dai, kudai kwao ya kuwa Yesu ni Mungu, ni uthibitisho tosha na wazi wa kuonyesha hawakumuona Yesu.

Unajua ni lini mafundisho ya tatu mtakatifu yaliingizwa ?

Wanafunzi wa Yesu sababu walikuwa ni Waislamu walikuwa ya kuwa Yesu ni mwanadamu na ni Mtume na nabii kama walio mtangulia. Ndio maana hupati kwa wanafunzia wa Yesu wakisema Yesu ni Mungu.

Suala la Yesu kusemwa ni mwana wa Mungu au Mungu ni falsafa tu.
 
Nakuja...
Huyu hapa ni miongoni mwa waliolishwa maneno kutokana na jibu lake au yuko sahihi.
 
Mbona mnalazimisha watu wasile wakati wa ramadhan kwani tumewalazimisha mfunge.?
Wanalazimishwa wakiwa wapi? Kila sehemu na utaratibu wake, hapa nilipo kuna mtu anakula saa hizi na habugudhiwi.
 
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Lazima tumuamini sababu ameleta kweli isiyo na shaka kabisa, na mafundisho yake ni uhalisia mtupu.

Ni magonjwa wa akili au msusuavu pekee anaweza kuyakataa mafundisho ya Mtume Muhammad.
 
sawa mkuu.
Japo haya mambo ya kiimani huwa ni kua na imani na kitu fulani kwanza then unajenga au kukiboresha.

Wengi ninaokutana nao wako hivyo, so info zao nyingi zinabase kwenye kile alichokiamini mwanzo ama lah kakiboresha kidogo.
 
Lazima tumuamini sababu ameleta kweli isiyo na shaka kabisa, na mafundisho yake ni uhalisia mtupu.

Ni magonjwa wa akili au msusuavu pekee anaweza kuyakataa mafundisho ya Mtume Muhammad.
1. Katika Suran 6: 163 Koran inadai kuwa Muhammad ndie Muislam wa kwanza.

2. Katika S. 02:30 , 34-35 , 37 Koran inadai kwamba, ni Ibrahim na waumini walio zaliwa kabla ya Muhammad ndio walikuwa Waislam wa Kwanza.

3. Katika S. 5:110-111 Koran inadai kuwa eti Isa Bin Maryam ndie alikuwa Muislam wa kwanza.

4. Katika S. 2:37 Koran inadai kuwa eti Adam ndie aliye kuwa Muislam wa Kwanza.
 
Reactions: 511
Nakuja...
Huyu hapa ni miongoni mwa waliolishwa maneno kutokana na jibu lake au yuko sahihi.
View attachment 2948313
1. Katika Suran 6: 163 Koran inadai kuwa Muhammad ndie Muislam wa kwanza.

2. Katika S. 02:30 , 34-35 , 37 Koran inadai kwamba, ni Ibrahim na waumini walio zaliwa kabla ya Muhammad ndio walikuwa Waislam wa Kwanza.

3. Katika S. 5:110-111 Koran inadai kuwa eti Isa Bin Maryam ndie alikuwa Muislam wa kwanza.

4. Katika S. 2:37 Koran inadai kuwa eti Adam ndie aliye kuwa Muislam wa Kwanza.
 
Ndio maana nimemuliza anaruka ruka akiamini sijui maandiko yao.😅
 
Hata mimi naamini hivyo.

Ila kwa ground mambo ni different.

kuna upande unalazimisha kiasi kwamba hadi wameandika kwenye kile wanachokiita kitabu kitakatifu.
Ndio imani yetu, kuandikwa kwenye kitabu si kulazimisha. Kwa logic ni sawa kitabu kuandika hivyo sababu quraan ni last revelation, ilibidi itoe ile sintofahamu, lakini hujalazimishwa uamini kilichomo kwenye quraan. Quraan imeandika visa vingi saana, adam,nuhu,ibrahim,musa,lutu,swaleh,issa na wengineo hadi mwanzo wa shetani.
 
Kwako uislami ni nini?
 
Kwako uislami ni nini?
Al-Baqara2;109 Na Ar Imran3;20
Tunaona Mambo Yafuatayo!!

1.Ni Wajibu Wa Waislamu Kuhubiri Dini Yao Lakini Si Wajibu Wao Kuwalazimisha Watu Kuamini Dini Yao.

2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.

3.Ni wajibu wa Waislam Kutoa Maonyo tu kwa Wale Wanaowahubiria.
LAKINI HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO NA ZINAVYO LETA UTATA KATIKA QURAN.
AL-Nisa4;101
Wale Wasioamini Ni Maadui Zenu Wakubwa.Vilevile Inasema Katika Sura Ya Al-

Tawb9;3
Tangazeni Mapigo Makuu (Ya Ole) Kwa Wasioamini.

Pia Al-anfaal8;39
Fanyeni Vita Juu Yao Hadi Kusiwepo Na Mateso Tena Na Hadi Pale Dini Ya Allah Itakapo Tawala.
 
Mungu hawezi kujitetea hadi analazimisha? Last revelation iliyoshushwa na Mungu kuja kupinga ya kale yaliyotolewa na Allah huyo huyo. Allah ni kigeugeu sana
 
Reactions: 511
Imani ni ya mmoja mmoja. Kila mtu aamini kwa uhuru wake
 
Ulo wro
Ulo wrong, mnaisoma juu juu, itanichukua muda mwingi kukuelekeza.

Hiyo aya ya kwenye anfaal ni maelekezo wapigane sababuwao ndio walianza kupigwa.
Hizi aya umesoma juu juu anzia aya za nyuma yake utapata majibu, hiyo suurat tawba anza mwanzo mpaka hapo jibu litakuja automatically, usipoelewa nitakusaidia.
 
Sio kweli
Mungu wenu anatangaza vita sana na wanadamu wake aliowaumba kiasi cha kutaka wauawe kama hawaamini ktk uislamu. Njoo uniue mi siamini kitabu kilichoshushwa kwa Mudi chenye kutangaza uadui na binadamu wengine
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…