Wangekuwa kweli wamemuona wasinge dai, kudai kwao ya kuwa Yesu ni Mungu, ni uthibitisho tosha na wazi wa kuonyesha hawakumuona Yesu.Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Unajua ni lini mafundisho ya tatu mtakatifu yaliingizwa ?
Wanafunzi wa Yesu sababu walikuwa ni Waislamu walikuwa ya kuwa Yesu ni mwanadamu na ni Mtume na nabii kama walio mtangulia. Ndio maana hupati kwa wanafunzia wa Yesu wakisema Yesu ni Mungu.
Suala la Yesu kusemwa ni mwana wa Mungu au Mungu ni falsafa tu.