DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kweli kabisa na kubaliana na wewe na ndo maana Kuna Doccumentary Hypothesis (Au sasa hivi wanaita Documentary Facts)..Inawezekana vitabu hivyo kuandikwa na wahusika tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kabisa ila waandishi wa mwanzo wakatajwa wao.
Na humo ndani kuna JEPD Theory inayohusu VITABU VYOTE VYA Mwanzo na vingine kuandikwa na Vyanzo zaidi ya vitatu