Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Daudi alitumia zaburi, Mussa torati ,issah injili then Muhamad kamaliza na Qur an.
Kila kitu hata funga tunafunga kama waliopita kabla yetu sisi.
Daudi alitumia torati, zaburi haina sheria zozote, ni nyimbo na mashairi tu ya kidini.
Yesu hakutumia injili, hakuna kitabu cha Injili.
 
Mbona watu wanadai Yesu alikuwa muislamu pia?? Kama mudi wa jana tu ndo muislamu wa kwanza, hii ya Yesu wa zamani huko before Mudi mnampaje uislamu?
Mitume wote walikuwa Waislamu yaani walikuwa na Imani Moja ila walitofautiana Sheria.

Mtume hupelekwa sehemu ambayo Imani sahihi imetoweka yaani Uislamu umetoweka kwahiyo Mtume anaenda kuuhuisha upya. Ndio maana Mtume akawa Mtume wa kwanza, sababu alipelekwa kwa watu ambao Imani sahihi imetoweka ambayo ndio Uislamu wenyewe huo. Nabii nae ana jambo lake.
 
Ok.
Kama kitabu anachotumia mkristo wamelishwa maneno ambayo sio sahihi, naomba nisaidie zaburi, injili na torati sahihi ambazo zimetumika kabla ya qurani (umesema zilikuwepo kabla).

Nikutoe hofu, mimi ni knowledge seeker tu sifungwi na wimbi la imani.
 
2. Katika S. 02:30 , 34-35 , 37 Koran inadai kwamba, ni Ibrahim na waumini walio zaliwa kabla ya Muhammad ndio walikuwa Waislam wa Kwanza.
Sahihi kabisa. Yaani wale wote walio waamini mitume huwa Waislamu ndio maana Yesu alikuwa Muislamu na wale wote walio muamini na kumfara nao walikuwa Waislamu pia.
 
3. Katika S. 5:110-111 Koran inadai kuwa eti Isa Bin Maryam ndie alikuwa Muislam wa kwanza.

4. Katika S. 2:37 Koran inadai kuwa eti Adam ndie aliye kuwa Muislam wa Kwanza.
Kwa wakati wao.
 
Umechangaya mambo ya imani na siasa.
Anyway naomba maana ya sinagog
 
Mi kuingia kwenye imani yenu labda ingekuwa kusaka totoz siyo kuamini ya kuwa ni imani ya M/Mungu. Kwenye kumponda jiwe shetani ningeshiriki japo sijui huwa amehifadhiwa humo au la.
Kaa huko huko mkuu
 
Maisha ya dunia ni sawa na chumba cha mtihani...Kila mwanadamu amepewa mtihani wake aujaze....kifo kitakapofika ndio muda wa kuacha kujaza mtihani na malaika watakusanya karatasi ya kila mmoja na kuipeleka kwa MUNGU....ukiwahi kutoka kwenye chimba cha mtihani utasubiri mpaka wenzako wote wamalize mitihani yao...kisha tutasubiri siku ya hukumu kupewa majibu.


Ishi utakavyoishi, amini utakavyopenda kuamini...ila majibu yapo siku ya Qiyama
 
Kwamba unahitaji hizo copy za kabla ya quran? Azilete
 
Reactions: 511
Kwa wakati wao.
Uongo tu. Qur'an imeandikwa na watu 12 waliokuwa wamehifadhi maana mudi hakuteremshiwa kitu bali maneno yake tu. Na kulikuwa na vita ambapo watu 70 waliokuwa wamehifadhi kquran walikufa vitani. Ndipo Abubakhar akawakusanya waliosalia 12 waandike walichohifadhi na kuunda msahafu.
 
Hata qiyama ni neno la kufikirika tu. Majibu siku ya qiyama wapi tushachotwa kisaikolojia!! Ni kama tulivyochotwa binadamu wa kwanza alikuwa km nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…