Maalim.
Tunakwenda vzr na tutafika.
Ili iweze kunielewa ni vzr ujifunze na kuelewa asili na misingi ya dini ya kiislam.
Imani ya kiislam inaitakidi kuwa asili watu wote ni waislam. Bali wazazi wao huwatoa katika uislam na kuwaongiza ktk uyahudi, unaswara na umajusi.
Ninyi ndugu zetu wakristo ktk Quran mumetajwa kama manaswara.
Manaswara ni watu waliodisinfomed ktk imani wakidhani wanamfata yesu kumbe imani yao imekuwa contaminated na bila kujuja badala ya kufata maandiko ya injili. Wameletewa kitabu kipya kinachonasobishwa na injili.
Kumbe ni kitabu cha waandishi waliomlisha maneno yesu kwa zaidi ya 90%
Nikirudi kwenye suali lako.
Waislamu walifata kitabu gani kabla ya Muhammad.
Jibu Uislamu haukuanza kwa Muhammad bali kwa mtume wa kwanza adam.
Kati ya adam hadi Muhammad ambae ktk Uislamu ndie mtume na nabii wa mwisho kuliletwa maarifa (vitabu) 4 vikiwemo zaburi, torati injili, quran na vijarida (suhuf) vingi.
kwa hiyo kwa imani ya uislam Quran ni muunganiko wa na nyongeza ya Zaburi, tofati na injili.
Changamoto iliopo ni muunganiko gani kati ya Quran na biblia uko authentic na ndio ulio na maarifa sahihi zaidi.
Iwapo Quran inasema yesu alifundisha ukristo wala hatujui ukristo wala hujawahi kujiita yeye ndie mwenyzimungu.
Iweje ktk mkusanyiko wa zaburi, injili na torati ndani ya biblia ulete contradiction ndani ya biblia na kumnasibisha yesu na ukristo.
Hii ndio kazi ya maarifa ya ubobezi ktk ngazi ya falsafa. Na namkubali Prof Sauli ni mwanachuoni mkubwa wa ngazi ya falsafa hujawahi kutokea tokea dunia iumbwe.
Nadhani nimejibu suali lako.