Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Ingia darasani kausome Uislamu vizuri kabisa, hizo habari za kuokota ni habari za makafiri tu sio sahihi kuzitumia utazidi kupotea
 
Kuna mtu aliulizwa hili swali akajibu,yeye anaamini ule ni ufunuo wa Mungu alipewa mtume.
Ila unaamini Mtu sliyeandika Luka,Marco na wengine lakini sio Eye witness??
Vyote hivyo Quran na Biblia havikuandikwa na eye witness
 
Wote mkp sawa tu hakuna Uislamu wala ukristo
 
Hayo ni mapungufu makubwa sana , haiwezekani kitabu kikamuongelea mtu ambaye ana umuhimu mkubwa sana kiimani bila background story. Waandishi walio compile na kuchapisha kitabu chenu kwa mara ya kwanza mwaka 1924 hawakufanya kazi nzuri hata kidogo.
Kama wangeona kuna umuhimu wangeongeza tu huo mwaka 1924.

Lkn imani haitwngezwi kwa kujua watoto, mama wa mtu.

Imani hutengezwa na sosholojia, falsafa na itikadi. Hivyo kutengeza au huchonga watu na jamii kuwa vile mtengeza vitu hivyo vitatu wanataka uwe vp.

Lkn moja ya athari ya kutoelewa Sosholojia, falsafa na itikadi ya mwanzilishi, yaweza kuwa chanzo cha kuwezeshwa falsafa, itikadi nyingine bandia ktkt yake.

Bahati nzuri Quran imekuwa ni kitabu cha mwisho cha Mungu na ili kuendana na watu wa zama hizi. Zama za lugha mpya ya code na password

Quran nayo imefungwa kwa open code. Namba 19. Kwa maana ukiongeza neno, ukipunguza, ukibadili. Utagundulika.

MIracle of 19 in the Quran
 
Somo la Divinity lifundishwe tuu mashuleni maana Kuna wahubiri feki wanalipotosha sana neno la Mungu kwakuwa halifundishwi vyakutosha!!
Wahubiri feki wanaocheza na Imani za watu na kujitengenezea ukwasi mkubwa anguko lao lajaaa.
Unauzia watu maji,udongo,mafuta,mapicha kisa uwe tajiri Sasa watu watafundishwa ukweli mtupuuu.
YESU ni MUNGU na amekuwepo wakati woote hajawahi kuwa hayupoo😊 kwanza alikuwepo katika hali ya kiroho alafu akaja duniani katika hali ya kimwili na kiroho nasasa yuko juu mbinguni kwa baba katika hali ya kiroho mpaka atakaporudi Tena duniani...
ukifundishwa vyema utasadiki
 
Mhhhhh
 
Kama ni hivyo basi Quran isingehitaji Hadith ili kuweza kuelezea context ya baadhi ya aya zake. Unajua kwamba Quran bila Hadith za wanadamu haiwezi kusimama yenyewe?
 
Kama ni hivyo basi Quran isingehitaji Hadith ili kuweza kuelezea context ya baadhi ya aya zake. Unajua kwamba Quran bila Hadith za wanadamu haiwezi kusimama yenyewe?
Quran unasimama bila hadithi.

By the way level ya hadithi ktk ukristo ndio level ya biblia. (Hasa agano jipya)

Level ya Quran ni injili origi ambacho ndicho kitabu alichokabidhiwa yesu.

Kwasasa haipo. Wanasema kabla kuigoogle injili ya barnaba. Ambayo nayo inapotezwa.

Hadithi zimechakachuliwa kama ilivyochakachuliwa injili na kuitwa agano jipya.

Kwa ufupi Quran inajisimamia yenyewe na kujitosgeleza.

Ikichomwa Quran yote leo imeandikwa upya hata na watoto waliyoihifadhi vichwani mwao.

Muujiza mwingine huu
 
Hao unaowaamini na Huyo usie muamini wote wanakujua?

Kwahyo kuamini na kutokuamini kwako hakubadilishi chochote.
Unaweza kupanda basi linaloendeshwa na Kichaa...?
 
Hapo Sasa, mtu anamuamini Mohammed na story za fiction wakati kuna watu walikuwepo na wameona kila kitu kwenye site. Alafu kije kijamaa miaka mia sita 600, baadae eti na story zake kwamba ye ndo anajua sana. Ndio maana wafuasi wake hawana akili mpaka leo.
 
Yesu ajakabidhiwa kitabu. Hamuelewi ata historia ya bibilia. Mnadhani Mungu ni ndogo kama kitabu. Vitabu vipo vingi sana ila vilikosa authenticity. Sasa moody ndio akakwapua huko mastory ya uongo. Eti aje baadae karne 6 mbele eti kaja kusahihisha!? Inaingia akilini. Acheni ujuaji , dini yenu ni false.
 
Wewe unaeamini yesu ni mungu inatosha, mimi ninaeamini yesu si mungu inatosha pia, haina haja ya kulazimishana.
Hata mimi naamini hivyo.

Ila kwa ground mambo ni different.

kuna upande unalazimisha kiasi kwamba hadi wameandika kwenye kile wanachokiita kitabu kitakatifu.
 
Ah wewe quran ni ile ile toka ilipoteremshwa😆😆😆
Am not Muslimu Mkuu!
Japo Kwa kujibu..
Quran Imebadilisha sana na imepitia Mabadiliko mpaka kufikia kwa Msahafu wa Uthmani (The standard of quran)..

But all in all
Hakuna Mwandishi hata mmoja wa Biblia Ambaye ni Authentic sources au Trur sources Vivo hivyo Quran
 
Injili ni nini? Maana kitabu chenu kinaiongelea injili ambayo hatuijui wala hatujawahi kuiona? Kama Quran inajitegemea Hadith za nini?

Wewe umejuaje kwamba the furthest mosque ni msikiti wa El-aqsa bila msaada wa Hadith na tafsir? Quran 17:1 haina context mpaka ukimbilie kwenye Hadith na tafsir 😊😊,kitabu chenu kina mashimo kibao yanayoonyesha upungufu wake.
 
Swali langu bado liko pale pale.

Umesema hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kumuona Yesu. Je Yesu alikuwa anawatumia Voice Notes?

Source ya taarifa kuwa Prof Saul ndiye aliyemuona Yesu iko na credibility kwa asilimia ngapi>?

Bila shaka chanzo iko hakina umri kuzidi maandiko ya biblia, kwanini tuamini waliyoyazungumza watu wa baadaye kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…