Kama wangeona kuna umuhimu wangeongeza tu huo mwaka 1924.
Lkn imani haitwngezwi kwa kujua watoto, mama wa mtu.
Imani hutengezwa na sosholojia, falsafa na itikadi. Hivyo kutengeza au huchonga watu na jamii kuwa vile mtengeza vitu hivyo vitatu wanataka uwe vp.
Lkn moja ya athari ya kutoelewa Sosholojia, falsafa na itikadi ya mwanzilishi, yaweza kuwa chanzo cha kuwezeshwa falsafa, itikadi nyingine bandia ktkt yake.
Bahati nzuri Quran imekuwa ni kitabu cha mwisho cha Mungu na ili kuendana na watu wa zama hizi. Zama za lugha mpya ya code na password
Quran nayo imefungwa kwa open code. Namba 19. Kwa maana ukiongeza neno, ukipunguza, ukibadili. Utagundulika.
MIracle of 19 in the Quran