DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kweli kabisa na kubaliana na wewe na ndo maana Kuna Doccumentary Hypothesis (Au sasa hivi wanaita Documentary Facts)..Inawezekana vitabu hivyo kuandikwa na wahusika tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kabisa ila waandishi wa mwanzo wakatajwa wao.
Ngoja nimalize hii kazi nitakuelezea vizuri kabisaInawezekana vitabu hivyo kuandikwa na wahusika tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kabisa ila waandishi wa mwanzo wakatajwa wao.
"Qur'anic Suras are not only older than the Qur'an, but older than Muhammad and Islam as well": Examining the Newest Historical Research on Islam and the Earliest Quranic ManuscriptsHabari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Nimeuliza maswali mawili ukajibu ndio. Nimeuliza ndio nini?Kwa hiyo neno "ndio " hujui?
Nimeuliza maswali mawili ukajibu ndio. Nimeuliza ndio nini?
Hakika mimi ni mfano wa Mungu, ukifanana na baba yako haina maana kuwa wewe ni baba yako. Kama wewe unavyovaa mavazi ya tamaduni za uarabuni haitatokea uwe mwarabu. Utabaki kuwa mtu wa afrika uliyepoteza asilia yako tu.Kwahiyo we mwenye kichwa kama senene umeumbwa kwa mfano wa Mungu??
Basi imani yako na wahindu wanaoabudu ng'ombe iko sawa, na ndo tatizo la kufananisha Mungu na vitu vingine, kila mtu atakuja na kile anachofananishia ndo kiwe Mungu wake.
Back to you, kwahiyo wanadamu wote ni Miungu kwa kuwa tumeumbwa kwa mfano wake eti mjomba
Kwa hiyo Mohammed alikufundisha kutukana unapoulizwa?Alafu kuna nyie ndugu zetu mnaitwa Waliopotea coz nyie ni majuha kuliko yaan mmekutana na kitu hamjui kinapoanzia wala kinapoishia mmekibeba tu π’π’π’π’
Kiufupi nyie Mungu amewaita ni VILAZA
Swali langu nimeuliza kabla ya Mohammed uislam ulikuwepo, kama ndio ulitumia kitabu gani?Waislam wanasujudu kama Mussa
View attachment 2948282
Wanasujudu kama Abraham
View attachment 2948283
Wanasujudu kama Yesu wenu
View attachment 2948284
Na ni kweli Yesu sio Issa.Yesu alishindwa kujikomboa na kikombe cha kifo,aliomba na kusema Aloi Aloi lamasabakhatan(Mungu eamgu,Mungu wangu,mbona umeniacha?).Lakini kikombe cha mauti hakimuepuka,wakamdhihaki wakamuua.Hakuna uhusiano kati ya Nabii Issa wa Quran na Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyezaliwa kwa Bikira Maria huko Nazareth.
Nabii Issa ni wa kwao wabakie nao wao, wasimlazimishie kuwa ndiyo Yesu wa kwenye Biblia
Uislamu ulikuwa ukitumia Zaburi,Taurat,Injili,vyote hivyo ni vitabu vya kiuslam Na vilikuweko vitabu vingine.Swali langu nimeuliza kabla ya Mohammed uislam ulikuwepo, kama ndio ulitumia kitabu gani?
Nimekujibu "NDIO"Swali langu nimeuliza kabla ya Mohammed uislam ulikuwepo, kama ndio ulitumia kitabu gani?
Hivi unaulizwa ulitumia kitabua gani unajibu ndio. Huoni unakwepa kujibu maana huna uhakika.?Nimekujibu "NDIO"
Walivipata wapi?, Je hivyo vitabu viko nje ya qurani?Uislamu ulikuwa ukitumia Zaburi,Taurat,Injili,vyote hivyo ni vitabu vya kiuslam Na vilikuweko vitabu vingine.
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Daudi alitumia zaburi, Mussa torati ,issah injili then Muhamad kamaliza na Qur an.Hivi unaulizwa ulitumia kitabua gani unajibu ndio. Huoni unakwepa kujibu maana huna uhakika.?
π π π πNimepitia Mathayo 26:39 inasema hivi; "lakini nawaambieni, sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu." Hii ya kwako umetoa wapi?
Vilienda wapi? Kwa nini hawavitumii hv sasa??Uislamu ulikuwa ukitumia Zaburi,Taurat,Injili,vyote hivyo ni vitabu vya kiuslam Na vilikuweko vitabu vingine.
Tutafika huko, kwaza jibu kitabu kilichotumiwa na waislam kabla ya kuja Mohammad ni kipi?Daudi alitumia zaburi, Mussa torati ,issah injili then Muhamad kamaliza na Qur an.
Kila kitu hata funga tunafunga kama waliopita kabla yetu sisi.
Nimepitia Mathayo 26:39 inasema hivi; "lakini nawaambieni, sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu." Hii ya kwako umetoa wapi?
Mbona mnalazimisha watu wasile wakati wa ramadhan kwani tumewalazimisha mfunge.?Wewe unaeamini yesu ni mungu inatosha, mimi ninaeamini yesu si mungu inatosha pia, haina haja ya kulazimishana.