Swali langu bado liko pale pale.
Umesema hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kumuona Yesu. Je Yesu alikuwa anawatumia Voice Notes?
Source ya taarifa kuwa Prof Saul ndiye aliyemuona Yesu iko na credibility kwa asilimia ngapi>?
Bila shaka chanzo iko hakina umri kuzidi maandiko ya biblia, kwanini tuamini waliyoyazungumza watu wa baadaye kabisa?
Maalim.
Tuseme historia vzr.
Yesu alikuja ktkt ya dola ya rumi ya kale. Moja ya viongozi wakuu wa dola hii ni mtoto wa mfanyabiashara mkubwa wa wakati huo ambae ni sauli.
Yesu alipoanza kupingana na utawala wa rumi, makuhani na wa kirumi wakamuona ni tishio.
Sauli akiongozana na wasiojulikama wakaanza kuwauwa wafuasi ya yesu kwa kuwafata misikitini (sinagogi) watoto hawa wa ukoo wa daudi.
Wakaanza kumfungulia kesi kama Lissu. Na mwisho wakamhukumu kifo.
Baada ya kutokea yaliyotokea. Na yesu kupaa, sauli atajiondokea zake kutoka Palestine hadi hadi syria.
Pale Palestine Jerusalem wakimpinga kwa kusema kwake yule yesu na kwa jinsi alivyonusurika kupata adhabu ya laana kwa wayahudi akasema huyu yesu ndie Mungu mwenyewe. Na wala hakutumwa na Mungu bali yeye ndie mungu.
Kwa ufupi adhabu ya kusulubiwa kwa warumi ilikuwa ni adhabu ya juu kwa mtu aliwapinga sheria za warumi na kwao waliita ni adhabu anayopewa aliyelaaniwa na Mungu wa warumi.
Na kwamba kikubwa tunachojifunza sasa. Na sisi tuwe tayari kusubiwa, kuwekwa ktk mifuko ya sandarusu kupinga utawala huu wa kibinadamu na kupigania sheria za Mungu zitawale hapa duniani.
Jukumu hilo kwasasa wanalo waislam pekee. Na wako tayari kufungwa kwa miaka kadhaa kwa kosa la LENYE adhabu kubwa kwasasa kwa ajili ya kundi hilo.
Kosa la ugaidi wanaoutengeneza wenyewe watawala.