Haujui kitu wewe na mwenzio eti unatuletea Tahrif na Nask 😂😂 alafu hata haujui ni vitu gani. Mwenzio ametuletea Quran ya Topkapi na Sanaa eti Quran ilishuka kabla ya mtume 😂😂😂
Ama kweli ukiwa kafiri unakua kilaza times 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui kitu wewe na mwenzio eti unatuletea Tahrif na Nask 😂😂 alafu hata haujui ni vitu gani. Mwenzio ametuletea Quran ya Topkapi na Sanaa eti Quran ilishuka kabla ya mtume 😂😂😂
Ama kweli ukiwa kafiri unakua kilaza times 100
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216Haujui kitu wewe na mwenzio eti unatuletea Tahrif na Nask 😂😂 alafu hata haujui ni vitu gani. Mwenzio ametuletea Quran ya Topkapi na Sanaa eti Quran ilishuka kabla ya mtume 😂😂😂
Ama kweli ukiwa kafiri unakua kilaza times 100
Permitted stealing from unbelievers. (Bukhari 44:668, Ibn Ishaq 764)Kipi ambacho sijakubaliana nacho yaani nazidi kukuhabarisha sisi Yesu tunamkubali ile vibaya sanaaa, Yesu na sisi ni dugu moja 😂😂😂
Usitake kututengabisha na Yesu tuna haki nae kuliko nyie mnaojipendekeza, Kikubwa unapoleta aya za Allah usifanye Tahrif uliyoipost hapo juu ☝️ mambo ya kutuambia eti tumeletewa taurat na injili tuifate 😂😂😂😂😂
Hivi unajua ni kina nani walioletewa taurat na injili??? Wewe taurat na injili haikuhusu hata chembe, wewe umeletewa Quran ambayo huitak, fanya uende darasani ukaisome mjomba hii ni kwa ajili yako na ndugu zako wotee
Sasa hapo hauelewi nini kwamba kajitoa muhanga msamehewe dhambi. Ndiyo maana kanisani mnaweka picha ya mzungu aliyevaa kichupi kuonesha alama ya kusamehewa dhambi.
Mnachukua picha ya Robert Powell au Brian Deacon akili zilivyo ndogo.
View: https://youtu.be/cKMy7YcfoQE?si=YuhJ4Bl94xS7r4g8
Huyu Mungu wa Asili anaitwa nani? Na hicho cheo kinaitwaje?Mungu ni mmoja wa asili hakuna mwingine ,hiko cheo cha Mungu hakuna mwingine.
Yesu ni Mungu..?Umeanza kututajia matapeli. Yesu hakuwa nabii ielewe biblia na ndo maana Quran inamtambia mwanamke pekee wa heshima ni Bi mariam mama wa Yesu
Utatu upp kwenye biblia..nadhsni nilieshi kusoma kwenye Yohana, Yesu alielezea katika moja ya mafundisho yake..Umewasalimu wanatheolojia tu
Ama na sisi wakristo inatuhusu??
Bwana Yesu kristo alikuwa ni Mungu katika hali ya mwili
Emanuel
Yohana 14 pia anajitambulisha
Isaya inaelezea tumepewa mtoto mwanamume,
Swala lingine
MUNGU anaendelea kutumia watu wake
Na hakuishia kuwatumia mitume tuu.
Na kila wakat mungu hutuma mtu kwa ajil ya wakat huo
Nae huwa ni mmoja tuu sio taasisi ni jesh la mtu mmoja
Utamtambua kwakuwa atasema sawa sawa na mitume na biblia nzima ilivyosema
Je wa wakat wako unamtambuaa??
Mlinganishe na neno tu utapata majibu?
Ilo fundisho la utatu halipo kwenye biblia
Ni imani ya roman na upagani tangu kabla injili haijafika rumi
Mtambu mjumbe wako na ujumbe ambao Mungu ameutuma kwa wakat wako
WILLIAM MARRION BRANHAM
Utawala wa kirumi ulianguka kabla ya ujio wa Mtume Mohammad s.a.wni hivi duniani kote watawala hawako tayari kukueleza ukweli wa mambo.
Ukweli hufichwa.
Ktk hao ukiiwataja hakuna aliyemuona yesu.
Aliyemuona yesu ambae ndie mastermind wa utawala wa wa rumi ni Prof Sauli.
Kwanza alificha kusema yesu alikuja kupingana na utawala wa warumi na alishindwa.
Hakuja kuongea kuwapeleka watu mbinguni pekee, bali alikuja kuuleta watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na huyu aliyekuja miaka 600 badae nae alikuja kwa lengo hilo. Kupinga utawala wa kirumi. Na kutaka bali alikuja kuuletea watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na utawala huondio ule ubaothibiti uovu na kuhamasisha uadilifu.
Huwezi kufundishwa ukweli huu.
Sasa moja ya mafundisho ya bandia ya Prof alicia Mungu nwenyewe ndie huyu yesu.
Ni disimformation
Ukisema kauli kama hii unataja na aya ili tujiridhishe.Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
yesu (issa) wa Quran na Yesu wa Biblia ni watu wawili tofauti.Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
Wagalatia hamna akili kabisa kabisa,ukute wewe ni msomi!!Mungu baba aliumba wanadamu, Mungu mwana akavaa uhusika wa binadamu na akatuokoa ktk dhambi zetu lkn aliushinda umauti hd akafufuka ktk wafu ndo maana mudi hawez kufufuka maana si lolote na Mungu roho mtakatifu anazidi kutulinda.
Aione Mparee2ni upotevu wa waziwazi. vilevile,
1. kwanini nimuamini mtu aliyekuja kuhubiri ukatili, kwamba asiyeuamini uislam achinjwe chingoni,badala ya kumwamini Yesu aliyefundisha upendo na kusamehe adui?
2. kwanini nimuamini mtu aliyekuja kuamrisha watu wake kuitetea dini au mungu hata kwa jihad na wakifa katika mazingira kama hayo wataenda peponi, badala ya kumwamingi Mungu wa kweli asiyehitaji msaada wa mwanadamu wakati wa kujitetea, kwasababu ukimtetea Mungu manake mungu wako hana nguvu, anahitaji kutetewa na mwanadamu.
3. kwanini nimuamini mtu aliyekuja kudanganya wanadamu kwamba, hata kama ameua katika kutetea hiyo dini au mungu wao, kule ahera atapewa mabikra 72 awe anazini nao muda wote, na ajabu yake hata akizini nao bikra zao haziondoki, manake wanakuwa bikra siku zote, sasa sijui wanazini nao upande upi hadi bikra isiondoke baada ya kuingiliana? NItamwamini Yesu aliyetamka wazi kwamba baada ya maisha haya, miili yetu itabadilishwa na kuwa kama ya malaika, hakutakuwa na kuoa au kuolewa.
4. kuna mengi yanashangaza, ila wengi bado wapo kifungoni, Mungu awasaidie.
Pole sana kwa kuwa katika mkanganyiko. Ila ukinifuatilia kwa makini hutakuwa kwenye mkanganyiko tena.Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Hakuna mwanadamu mwenye dhambi bali mnyama aliye ndani yake uncle....Pole sana kwa kuwa katika mkanganyiko. Ila ukinifuatilia kwa makini hutakuwa kwenye mkanganyiko tena.
Umesema vyema Mathayo, Luka, Yohana na Marko walikuwa mashahidi wa macho wa maisha ya Yesu. Na ukweli mkubwa zaidi ambao haukuujua bado kulikuwa na watu zaidi ya mia 500 waliokuwa mashahidi.
Swali la msingi ni kwa Nini waliitwa mashahidi? Na ushahidi wao ni katika Nini hasa?
Ushahidi wao ni katika kile kilichonenwa kabla katika maandiko matakatifu ambayo ni Mwanzo hadi Malaki juu ya Yesu.
Yaani Manabii wote kuanzia Mwanzo hadi Malaki kwa nyakati tofauti walinena/kutabiri juu ya Yesu kuhusu kuzaliwa kwake, kuishi kwake, kufa kuzikwa na kufufuka kwake ambayo ilikuwa ni ahadi ya Mungu kwa ukombozi wa mwanadamu.
Hivyo wanafunzi wa Yesu na mashahidi wengine walikuwa ni mashahidi wa macho wa utimilifu wa unabii ulionenwa toka Mwanzo hadi Malaki kumhusu Yesu. Ushahidi wao haukuibuka tu from no where.
Walikuwa wanashuhudia kile kilichonenwa katika Mwanzo hadi Malaki ndio haswa kilitimizwa.
Ukiwa hujui hili utabaki katika mashaka ya kudhani habari za Yesu ni kama mambo ya kutungwa tungwa tu. Hapana!
Ona hapa inavyounganishwa vizuri.
1Kor 15 (SUV)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi, ndugu zangu, nawaarifu ile injili niliyowahubiri; ambayo ndiyo mliyoipokea, na katika hiyo mnasimama,
² na kwa hiyo mnaokolewa; ikiwa mnayashika sana maneno niliyowahubiri isipokuwa mliamini bure.
³ Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko;
⁴ na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;
⁵ na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara;
⁶ baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala;
⁷ baadaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote;
⁸ na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Kwa hiyo msukumo wa Mitume wa Yesu kutuandikia ni ili sisi nasi Tuamini ujumbe wa maandiko matakatifu(Mwanzo mpaka Malaki) ambao wao wamekuwa mashahidi wa macho ya kwamba Mungu alikuwa mwaminifu kutimiza ahadi yake ya ukombozi wa mwanadamu kupitia Yesu Kristo.
Hivyo mtu yeyote anayeamini utimilifu wa ujumbe Manabii(mwanzo hadi Malaki ) ndio anakuwa ameokoka. Yaani dhambi zake zimeondolewa kwa kile ambacho Yesu alikitimiza.
Ujumbe wa injili sio mastori ya wazungu kwani ahadi ya Mungu kumkomboa mwanadamu na dhambi zake ilikuwepo kabla hata ya anguko la mwanadamu ambako kimsingi wakati huo hata hao wazungu hawakuwepo na hakuna mwanadamu mwenye wokovu wake peke yake ila katika Yesu Kristo tu.
rom 10 (SUV)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
⁹ Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
¹⁰ Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
¹¹ Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
¹² Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao;
¹³ kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Ni kila anayeamini utimilifu wa ujumbe wa manabii yaani kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo anakuwa ameokoka. Hapo hakuna Cha mzungu wala mwafrika ni kila anayeamini.
Ndugu yangu waamini katika hili?
Sasa ikiwa mtu atashika mafundisho mengine yanayopingana na Yale yaliyoandikwa toka Mwanzo hadi Malaki na yakashuhudiwa utimilifu wake na Mitume wa Yesu na yakafafanuliwa vyema katika nyaraka za Mitume, hayo ndio yatakuwa mafundisho potofu. Ni mafundisho yanayopinga utimilifu wa ahadi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu ambayo ndio kazi Yesu Kristo aliifanya na kumaliza.
Mtu akifundishwa vyema kile Mungu amefanya ndani ya Kristo hawezi kubaki katika fundisho potofu.
Ingia kwenye channel hii Kainosmedia ujifunze vyema zaidi Kisha na utawasaidia hao wanaokwenda katika mafundisho potofu wapone.
Kuna vitabu na masomo ya audio ktk mtiririko mzuri sana.