Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

mimi pale ananichekesha ni anaposema, huko ahera watapewa mabikra 72 wawe wanafanya nao ngono, na hata akimfanya mapenzi huyo bikra, bikra yake haiondoki, hivi kweli mtu anakuja kukuambia hivyo halafu usishtuke kua anakudanganya? na zaidi ya yote, alipenda sana ngono na hasa ngono za watoto (pedophile) ndio maana alioa hata mtoto wa miaka 6 akazini naye akiwa na miaka 9. kutoa bikra kwake ilikuwa kitu cha muhimu mno. sasa kwa ahera, inakuwaje uingize uume kwenye uke wa mwanamke bikra, umfanye ngono hadi ukojoe, halafu abaki na bikra? kwanini mnadanganywa?
Hii ni imani ya kishetani kwa asilimia mia mkuu achana na maabudu shetani hayo
 
Mpaka sasa huwa nashangaa sisi waafrika kusagiana kunguni kisa utamaduni ulioletwa na Wazungu na Waarab. Mbaya zaidi hao wenye huo utamaduni siku nyingi wameutupa kwa asilimia kubwa.

Mimi muislam nina marafiki waislam na wakristo wengi na pia nina washikaji wawili wao imani yao ni rastafarian lakini mpaka sasa hawa Rasta ni watu poa kinoma wako real hawana unafki ,ubinafsi ,uchoyo wala hawajioni bora kuliko wengine.

NB:Tuache utumwa wa kifikra.
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Uskute pia wakati WA yesu walikuwepo watu wakijiuliza swali kama lako lakuwa kwann wao wamuamini yesu aliyekuja Miaka kadhaa Tu Baada ya Ibrahim au nabii Suleman na wamuamini yesu? Sababu Dunia haikuanza na YESU
 
Allah ni mmoja tu
Allah ndo anaaabudiwa na kila kiumbe (kwa kupenda na bila kupenda)
Hakuzaa
Hakuzaliwa
Hafanani na kiumbe chochote
Hizo ndo sifa zake kuu, linga isha kwa yesu utaona namna file linacorrupt
Ndio Mungu wako Allah huyo.
Anaye apa kwa Mola mlezi
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Histoire zisikuchanganye
 
Quran pia Muhammad alizaliwa wapi, alitokea ktk kijiji gn, Quran hatujui Muhammad alikuwa na wanafunzi wangapi, wala majina yao. Ni kweli kabisa kwa Quran haijataja hata majina ya wake na watoto wake.

Naam ni sahihi kabisa. Kwa Quran si kitabu cha historia, si kitabu cha kisayansi, si kitabu cha hesabati au fani yyt. Bali kimetoa tu muhtasari wa historia, hisabati, sayansi, biology nk kwa muhtasari au mwongozo. Ili wewe tunapokuja kufanya utafiti ukusaidie ili usije kukupotosha.

Kuhusu mama wa yesu. Quran inaweza kukupa majibu kwa kujiuliza.

Mama wa yesu anamwotaje mwanawe

Na yesu anamwitaje mama yake.

Je kila mmoja anamwita mwenzie Mungu au kuna mwanachuoni wa kirumi ndie aliyeleta hii falsafa ya uungu wa mtoto huyu wa mariam
Quran sio kitabu Cha Historia mbona kinaelezea historia ya wanairael Mussa alivyowatoa Misri?
 
Unajua kul
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?

Unajua ukiwa na hoja za Chekechea unatakiwa uzijadili na wenzako wa chekechea huko pembeni na sio kupotezea watu muda....
Mfano; Biblia hiyo hiyo imeandika habari za Musa (Torati), habari za Daudi (Zaburi) habari Abraham, habari za Adam na Eva nk nk nk nk ambao wameishi miaka maelf kabla ya Yesu na zote hizo unaziamini....
 
Quran sio kitabu Cha Historia mbona kinaelezea historia ya wanairael Mussa alivyowatoa Misri?
Maana ya historia ni kujua watu ambao kwasasa twaweza kuwaita agent for changes.

Na hutaja kwa muhtasari tu ili mimi na wewe tutafiti.

Ni kama vile ilivyotaja mambo ya maumbile (biology) japo kwa muhtasari. Kwa hiyo hatuwezi kusema quran ni katibu cha biology
 
Back
Top Bottom