Quran pia Muhammad alizaliwa wapi, alitokea ktk kijiji gn, Quran hatujui Muhammad alikuwa na wanafunzi wangapi, wala majina yao. Ni kweli kabisa kwa Quran haijataja hata majina ya wake na watoto wake.
Naam ni sahihi kabisa. Kwa Quran si kitabu cha historia, si kitabu cha kisayansi, si kitabu cha hesabati au fani yyt. Bali kimetoa tu muhtasari wa historia, hisabati, sayansi, biology nk kwa muhtasari au mwongozo. Ili wewe tunapokuja kufanya utafiti ukusaidie ili usije kukupotosha.
Kuhusu mama wa yesu. Quran inaweza kukupa majibu kwa kujiuliza.
Mama wa yesu anamwotaje mwanawe
Na yesu anamwitaje mama yake.
Je kila mmoja anamwita mwenzie Mungu au kuna mwanachuoni wa kirumi ndie aliyeleta hii falsafa ya uungu wa mtoto huyu wa mariam