Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Sasa wajumbe walikuwa 30 kwa mujibu wa Nyallandu mwenyewe ,yeye akapata kura zote maana take zote 30 sasa hizo za Lissu 24 zinatoka wapi? Au mim sijaelewa?
Kwa Mujibu wa Nyalandu mwenyewe ni kwamba wajumbe wa Kamati kuu walikuwa 30 , Lissu alipata kura 24 , Nyalandu hakusema amepata ngapi na wala kura zilizoharibika hazifahamiki .[emoji23][emoji23][emoji23]ANAUMWAKwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi...
Labda Rais wa wasafi.Huyu Mzee kumbe yupo hivi, eti huyu naye ndiyo awe Rais wa Tanzania - aiseee !!
wewe ndie muongo Nyalandu alimpiga chini Lisu kura za kamati kuu wala sio siriUmeokota wapi huo uongo
Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali nimelazimika kujitokeza ili kunyoosha baadhi ya mambo ili kuondoa upotoshaji wake....
Chadema ni Taasisi , kosa alilofanya Nyalandu ni kutangaza kwamba atahojiwa masaa 48 kabla , nzi wakafika kuchunguza kitakachojili , hili kwako ni huwezi kuelewaNani avujishe ishu ya bahasha?. Wanahabari watakosea mengi lakini sio kuvujisha ishu nyeti kama hizo....hivyo hilo la "mmoja kavujisha" ni urongo.
simply tafakuri> leo ktk mahojiano na clouds fm alisema "wakati nakwendwa kamati kuu ya @chademaTz wajumbe walikuwa 30, nilipata kura zote na Tundu Lissu alipata kura 24, nilimgalagaza kwelikweli. Watu wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa, watu waliotoka CCM hatuwezi kuwaamini."Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu...
Uongo ni ilani ya CCM , Tukipambana na uongo tumepambana na CCMKwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali nimelazimika kujitokeza ili kunyoosha baadhi ya mambo ili kuondoa upotoshaji wake...
Weka mkeka wa kura hapa tuone mnafiki mkubwa wee !!wewe ndie muongo Nyalandu alimpiga chini Lisu kura za kamati kuu wala sio siri
Huyu mzee wa MIGA hadi kamati kuu ya chadema hawamtaki, sasa anaaminika na nani sasa?Weka mkeka wa kura hapa tuone mnafiki mkubwa wee !!
Acha hasira bwana kibwengoKwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi...
Ni neno lake dhidi ya ukweli uliopo kama anatuambia ukweli. Puppet tu huyo wala tusipote muda naye. Mchumia tumbo tu huyo.Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Kama kawaida Moderator kaunga uzi wangu ili kuokoa jahazi !Hovyo